Wewe ni jinsia gani mkuu? Maana umesema mke mwenzako anachepuka mara tena mke wakoMimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu , kwenye masuala mbali mbali,yaani hata anavyojibu maswali,sioni kama mwenzangu anashauku na familia kama mwanzo,Sasa hivi Huwa anachelewa sana kurudi job na Huwa sababu ninazopata ni kuwa kazi ni nyingi,ilihali naifahamu kuwa kazini kwao mida ya saa kumi wanakuwa wamemaliza majukumu.kwenye simu hataki tena niguse simu yake ,though sijawahi kukuta kama Kuna dalili ya kusema Kuna mtu anachati naye,nimeshamchunguza sana sioni kama Kuna dalili ya kuwasiliana na mtu yeyote ila ninavyohisi ni kama napigwa na kitu kizito kichwani.nikijaribu kumweleza anasema hawezi kufanya kitu cha namna hiyo ingawa naona hisia zangu zinanituma kuwa Kuna jambo halipo sawa.Mimi naona ni Bora mtu kuwa single .Sasa wadau ni namna Gani naweza kuthibitisha haya mashaka yangu?ni aina Gani ya technolojia inaweza kujisaidia?
Blaza,watuu washatomber...washatomber blazaMimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu , kwenye masuala mbali mbali,yaani hata anavyojibu maswali,sioni kama mwenzangu anashauku na familia kama mwanzo,Sasa hivi Huwa anachelewa sana kurudi job na Huwa sababu ninazopata ni kuwa kazi ni nyingi,ilihali naifahamu kuwa kazini kwao mida ya saa kumi wanakuwa wamemaliza majukumu.kwenye simu hataki tena niguse simu yake ,though sijawahi kukuta kama Kuna dalili ya kusema Kuna mtu anachati naye,nimeshamchunguza sana sioni kama Kuna dalili ya kuwasiliana na mtu yeyote ila ninavyohisi ni kama napigwa na kitu kizito kichwani.nikijaribu kumweleza anasema hawezi kufanya kitu cha namna hiyo ingawa naona hisia zangu zinanituma kuwa Kuna jambo halipo sawa.Mimi naona ni Bora mtu kuwa single .Sasa wadau ni namna Gani naweza kuthibitisha haya mashaka yangu?ni aina Gani ya technolojia inaweza kujisaidia?
Waombe Mods basi wakurekebishie kichwa cha habari yako. Maana kinaleta ukakasi.Mimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu , kwenye masuala mbali mbali,yaani hata anavyojibu maswali,sioni kama mwenzangu anashauku na familia kama mwanzo,Sasa hivi Huwa anachelewa sana kurudi job na Huwa sababu ninazopata ni kuwa kazi ni nyingi,ilihali naifahamu kuwa kazini kwao mida ya saa kumi wanakuwa wamemaliza majukumu.kwenye simu hataki tena niguse simu yake ,though sijawahi kukuta kama Kuna dalili ya kusema Kuna mtu anachati naye,nimeshamchunguza sana sioni kama Kuna dalili ya kuwasiliana na mtu yeyote ila ninavyohisi ni kama napigwa na kitu kizito kichwani.nikijaribu kumweleza anasema hawezi kufanya kitu cha namna hiyo ingawa naona hisia zangu zinanituma kuwa Kuna jambo halipo sawa.Mimi naona ni Bora mtu kuwa single .Sasa wadau ni namna Gani naweza kuthibitisha haya mashaka yangu?ni aina Gani ya technolojia inaweza kujisaidia?
Unachokitafuta utakipata broMimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu , kwenye masuala mbali mbali,yaani hata anavyojibu maswali,sioni kama mwenzangu anashauku na familia kama mwanzo,Sasa hivi Huwa anachelewa sana kurudi job na Huwa sababu ninazopata ni kuwa kazi ni nyingi,ilihali naifahamu kuwa kazini kwao mida ya saa kumi wanakuwa wamemaliza majukumu.kwenye simu hataki tena niguse simu yake ,though sijawahi kukuta kama Kuna dalili ya kusema Kuna mtu anachati naye,nimeshamchunguza sana sioni kama Kuna dalili ya kuwasiliana na mtu yeyote ila ninavyohisi ni kama napigwa na kitu kizito kichwani.nikijaribu kumweleza anasema hawezi kufanya kitu cha namna hiyo ingawa naona hisia zangu zinanituma kuwa Kuna jambo halipo sawa.Mimi naona ni Bora mtu kuwa single .Sasa wadau ni namna Gani naweza kuthibitisha haya mashaka yangu?ni aina Gani ya technolojia inaweza kujisaidia?
Speculation ni kitu mbaya sana kwenye mahusiano hasa ndoa. Za mwizi arobaini, huwezi kucheat siku zoooote pasipo kukamatwa, ipo siku tu anayecheat anakamatwa.
Ukishakuwa na uhakika unaweza kuchukua hatua
Mkuu huna issues za kufanya mpaka ukipe kazi ya kufatilia wanawake? Fanya mambo yako huyo mkeo hata kama anafanya uasherati bado hajanogewa, siku akinogewa hata huna haja ya kutafuta ushahidi, atakuletea mwenyewe na kama hukumruhusu aondoke baada ya hapo atakufanyia vitimbi hakuna rangi utaacha kuona. Fanya mambo yako pisi kali sir god anazimwaga duniani kila siku, kata mti panda mti usiwazeMimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu , kwenye masuala mbali mbali,yaani hata anavyojibu maswali,sioni kama mwenzangu anashauku na familia kama mwanzo,Sasa hivi Huwa anachelewa sana kurudi job na Huwa sababu ninazopata ni kuwa kazi ni nyingi,ilihali naifahamu kuwa kazini kwao mida ya saa kumi wanakuwa wamemaliza majukumu.kwenye simu hataki tena niguse simu yake ,though sijawahi kukuta kama Kuna dalili ya kusema Kuna mtu anachati naye,nimeshamchunguza sana sioni kama Kuna dalili ya kuwasiliana na mtu yeyote ila ninavyohisi ni kama napigwa na kitu kizito kichwani.nikijaribu kumweleza anasema hawezi kufanya kitu cha namna hiyo ingawa naona hisia zangu zinanituma kuwa Kuna jambo halipo sawa.Mimi naona ni Bora mtu kuwa single .Sasa wadau ni namna Gani naweza kuthibitisha haya mashaka yangu?ni aina Gani ya technolojia inaweza kujisaidia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] jamani huu ushauri hapanaMtumie video yako ukiwa na mwanamke mwingine mnapeana kiss hapo na yeye ata kasirika atakutumia ya kwake na mwanaume mwingine kisha case closed.
πππ Sasa atafanyaje ili kufanya mke nae apate sumu atoe ukweli wake vipi kwa upande wako ukitumiwa hivyo hutaweza kutoa sumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] jamani huu ushauri hapana
Mkuu wewe ukimpata Kwa bedi mchakate zaidi ya vile unavoweza kufanya Kwa MalayaMimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu , kwenye masuala mbali mbali,yaani hata anavyojibu maswali,sioni kama mwenzangu anashauku na familia kama mwanzo,Sasa hivi Huwa anachelewa sana kurudi job na Huwa sababu ninazopata ni kuwa kazi ni nyingi,ilihali naifahamu kuwa kazini kwao mida ya saa kumi wanakuwa wamemaliza majukumu.kwenye simu hataki tena niguse simu yake ,though sijawahi kukuta kama Kuna dalili ya kusema Kuna mtu anachati naye,nimeshamchunguza sana sioni kama Kuna dalili ya kuwasiliana na mtu yeyote ila ninavyohisi ni kama napigwa na kitu kizito kichwani.nikijaribu kumweleza anasema hawezi kufanya kitu cha namna hiyo ingawa naona hisia zangu zinanituma kuwa Kuna jambo halipo sawa.Mimi naona ni Bora mtu kuwa single .Sasa wadau ni namna Gani naweza kuthibitisha haya mashaka yangu?ni aina Gani ya technolojia inaweza kujisaidia?