Nahisi mdogo wangu amerogwa

Nahisi mdogo wangu amerogwa

The End..

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
4,362
Reaction score
3,846
habari wana MMU....
nina mdogo wangu wa kiume ambaye hv karibuni niliporudi kutoka chuoni nimemkuta yupo katika mahusiano na mwanamke ambaye anaonekana ni bibi ila yeye anadai ni msichana mdogo na anampenda sana. nimejaribu kufatilia historia ya huyo bibi kiukweli siyo nzuri sababu ameuza hadi baa... nifanyaje mwenzenu sababu huyu dogo hashauriki. nina wasiwasi labda huyu bibi amemroga mdogo wangu. kinachoniuma huyu dogo ndo kwanza yupo kidato cha tano nishaurini wadau....!!!
 
duh! Bibi amepata kaserengeti na anajua jamii itakataa mahusiano yao so lazima atumie njia zote kuhakikisha dogo hachomoki. We kwa kumtazama huyo unayemuita bibi unadhani ana miaka mingapi?
 
Inaonekana na wewe tu una tatizo na hujakua

Tangu lini mapenzi ya ndugu yakaingiliwa na ndugu mwingine?
 
Kwanza, uchawi haupo.

Pili, kwani mtu kuuza baya ni vibaya?

Kama kuuza baa ni vibaya, kwa nini kwenda kunywa baa si vibaya?

Stereotypes of backward societies....
 
kuanzia kama 29 hv mkuu.......
 
Inaonekana na wewe tu una tatizo na hujakua

Tangu lini mapenzi ya ndugu yakaingiliwa na ndugu mwingine?

kwahy mkuu ndugu yako mfano akiwa anatembea na mtu mwenye HIV na wewe unajua utamwacha!!!
 
Sasa kama anatembea nae nikimuambia au kuanzisha mavurugu ili waachane itasaidia nini?

Huwezi hata kumpangia kama akiamua kutumia madawa ya kulevya sembuse mpenzi?
 
Kwanza, uchawi haupo.

Pili, kwani mtu kuuza baya ni vibaya?

Kama kuuza baa ni vibaya, kwa nini kwenda kunywa baa si vibaya?

Stereotypes of backward societies....

so unanishauri nimwache mkuu.......!!!!
 
Huyo "bibi" ni mwenyeji wa Songea, Ruvuma?
 
Sasa kama anatembea nae nikimuambia au kuanzisha mavurugu ili waachane itasaidia nini?

Huwezi hata kumpangia kama akiamua kutumia madawa ya kulevya sembuse mpenzi?

kiukweli mi nashindwa kabisa kumwacha sina imani kabisaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
 
Duh achana nao

naanzaje kuachana nao kiongozi!!!
sina imani na huyu bibi...... kibaya zaidi ameenda hadi anapokaa huyo bibi eti anajitambulisha kweli nimwache mkuuu!!!!
 
Bibi anauza bar? Dogo analelewa. Mahitaji muhimu akiwa shuleni anapata toka kwenu au ndio bibi ana-provide?
 
Bibi ana miaka 29, na dogo ana miaka mingapi? Kuna madogo wana miaka 24 wako a-level. Labda dogo anapenda mapenzi ya kudekezwa/kulelewa. Si ajabu yeye ndo alienda kumuimbisha dada wa watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom