Nahisi marehemu alirudi kuniaga

Haya hebu tumsubiri akujibu
 
Inasemekana KUWA "siku 30 kabla ya mtu kufa hufanya mambo ya tofauti au mazuri au mabaya".

Mimi zamani nikiwa Teen nilikuwa nikikuota umefariki ndugu yangu wewe andaa wosia maana unakufa kweli kwa sasa naota watu hawafi
Mkuu hii umesem kweli
Mimi pia niko hivo
2012 niliota mama yangu mdogo kazaa mtoto aliyekufa ikawa kweli

2017 niliota rafiki yangu kafa kesho yake asubuhi natumiwa texts jamaa kafa .alikua mzima kabisa usiku tuna chat
 
Haya mambo yapo na yanatokea hasa ukiwa na mahusiano ya karibu sana
Vipi kuhusu kuota mtu kafa afu anakufa kweli na alikua mzima tu haumwi
Au kuota uko nae afu anakufa kesho yake
 
Mkuu hii umesem kweli
Mimi pia niko hivo
2012 niliota mama yangu mdogo kazaa mtoto aliyekufa ikawa kweli

2017 niliota rafiki yangu kafa kesho yake asubuhi natumiwa texts jamaa kafa .alikua mzima kabisa usiku tuna chat
Dah! Kwangu mimi nilikuwa naogopa hata kusema kwa watu, nilikuwa naota nabaki na ndoto yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…