Hapo kwenye rangi,Nakuliza swali nawewe,je ushawah kufanya nae mapnz?je ukaribu wenu ukikuwaje?na tatu je ulikuwa ukimpnda au ushawah kumtamkia kuwa unampndaa?kama jibu ni ndio,je vip reaction yake juu ya wewe kumwambia hivo?kama hujawah je yeye alishawah kukutamkia?kama hapan je uliona dalili za yeye kukutamkia?anyway Inallillah waina illah rajiun
Maswali haya hayana tijaNakuliza swali nawewe,je ushawah kufanya nae mapnz?je ukaribu wenu ukikuwaje?na tatu je ulikuwa ukimpnda au ushawah kumtamkia kuwa unampndaa?kama jibu ni ndio,je vip reaction yake juu ya wewe kumwambia hivo?kama hujawah je yeye alishawah kukutamkia?kama hapan je uliona dalili za yeye kukutamkia?anyway Inallillah waina illah rajiun
Mkuu wapi nimeandika nilikua namgegeda?Yaani wewe mwanakwaya ulikuwa unagegedana na mwanakwaya mwenzio afu mnaimba kusifu na kuabudu!!! Hizo Ni salaamu anakuletea utubu kabisa.
Ndo maaana mm na waimba kwaya huwa hatuivi kabisa! Unafiki wa hali ya juu
je ni mawazi tu au ni mzimu wa marehemu ulimtokea kwa ndoto? tupe nondo mtaalam wa hizo kaziHaya mambo yapo na yanatokea hasa ukiwa na mahusiano ya karibu sana