Nahisi mama mkwe wangu ni vampire

Nipe namba ya huyo mama mkwe wako.
Ana nyege tu ndio zinazompa hasira kali.
Mm ni mstaafu (over 60+) naamini tunaweza kuelewana Kiutu uzima nikamtuliza hasira na wenge lake.
 
Hilo tatizo liko rohoni na yeye hawezi kujicontrol,anahitaji msaada wa kiroho
Ila kwa sasa usiache watoto hapo kabisa mana asipowatoa damu atawafanyia mengine msiyoyatarajia kwasababu ametekwa na nguvu za giza
 
Huyo mama ni kichaa kabisa yaani ondoka fasta ndugu yangu!
 
Hii kama nilishaisoma, hujawahi kuileta miaka ya nyuma?
 
Nasubiri muendelezo wa hii thd,Mama mkwe kamuua sikio mtu kama ilivyokua ile mechi ya boxing kati ya Tyson vs Evander Holyfield.
 
Anataka mtoko na mkwe, atatulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…