Mukuu123
JF-Expert Member
- May 7, 2019
- 319
- 1,221
Nimesikiliza leo vipindi vya michezo kuanzia wasafi, Efm, clouds na sasa nasikiliza kipenga aisee naona kuna script hawa watangazaji na wachambuzi wamepewa maana hizi kauli za kumshukuru mama na mapambio yenye sifa Kwa team yetu zimekuwa nyingi mpaka napata wasiwasi, wachambuzi wamekosa hata weledi wa uchambuzi wamekazana tuu leo tunashinda tuu,pasipo kuangalia ubora wa team pinzani.
Mnaleta hamasa wakati team hatuna na maandalizi bado sana kuweza kuaminisha kwamba eti tuna qualify kwenye World Cup, naomba kesho nisisikie kwamba oooh mpira wametuzidi na bla bla kibao.
Mnaleta hamasa wakati team hatuna na maandalizi bado sana kuweza kuaminisha kwamba eti tuna qualify kwenye World Cup, naomba kesho nisisikie kwamba oooh mpira wametuzidi na bla bla kibao.