Nahisi kumpenda my "Workmate"

dat y wanaume wanaoa la 7, we unajua mkeo yupo job kumbe, , , OK NAKUSHAUL UOKOKE UTAFUTE MCHUMBA HALALI WA KUOA USIPINDUE NDOA YA MTU,
 
dat y wanaume wanaoa la 7, we unajua mkeo yupo job kumbe, , , OK NAKUSHAUL UOKOKE UTAFUTE MCHUMBA HALALI WA KUOA USIPINDUE NDOA YA MTU,
Mimi Anipe Ninachotaka, Na Anarespond Nzuri Tu, Sina Shida Na Ndoa Yake, Aendelee Nayo Tu
 
Unajiskiaje kuvunja ndoa ya mtu? Unaharibu furaha ya mwanaume mwenzako

Hopeless
 
 
Mahusinao kazini siyo mazuri na pia siyo mahali pake...

Mahusiano na mke wa mtu siyo vizuri kabisa...

Achana na mke wa mtu...

Cc: mahondaw
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe usiwasikilize wanaojifanya washahuli...... wenyewe wanachepuka ndiomana wanasikia uchungu kujua kama wenzi wao nao wanatamani kuchepuka.
Nani humu hajawai kutamani au kuchepuka?? Wengine kila siku kutufungulia thread za kutembea na mahousegirl na kusifia michepuko.

Mdogo wangu fanya unachoona sahihi mwenye maumivu yakizidi amuone daktari.
Na wanaume mjifunze kujali wake zenu vitu vingine vya kijinga ndio vinapelekea wake zenu kuchepuka.
 
Ingekua mie ngekua nshagegeda kitambo nakuja kuomb ushaur kam nilikosea au vip...!? Mpe mtot wa kike ballcony hiyo anyonye...unamchelewesheaeaea
 
mkuu mgegede tu amna jinsi KWA sababu usipo fanya hvyo atajenga zalau
 
And She Is So Happy Today Kwa Kuniona, Furaha ya Moyoni Ile Kabisa, Nina Wakati Mgumu Kweli Kweli!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…