MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,460
- 1,476
- Thread starter
-
- #141
Muda Ukifika Nitaoa, Ila BadoWewe si uoe wa kwako, huyo ameshakwambia amewahiwa bado unaleja ujuaji.
I have Life Mkuu, Na Kazi ya Maana Tu, Sio ya Kuunga Ungalitaanzaje wakati halina tactics...
yani kaingilia battle ambayo siyo matching kwake..
angekua mume wa mtu na yeye angeelewa kumkwepa..ila kinuka mkojo....hakioni mbali ..hela yake hapo kalipia geto kanunua boxer kanunua gesi kwao kalipa madeni kalipa kodi mchezo umeishaaa.....kala bia na masela mavi wenzie wameadisiana wamesapotiana wanaona ndo maisha...
anaanzaje kuona upande wa mumw w a mtu mwenye hayo yoteee, tena doubled maana ana familia mbili commitment mbili nk..yani uo uchungu wake huyu kwake anaona kawaida si amekingwa na kutazama kwa ufupi kwa upeo wa mke wa mtu
Akihama, Mimi Hanihusu Tenakesho akihama kazi akienda pengine napo atakutana na watakao mjengea mazingira akawa na furaha..our POINT IS MAZINGIRA YAWE NA MIPAKA..usijidai una vuka mipaka ya MME WAKE maana huna haki hata kwenye jicho la sheria....
iko hivi mwanake huwa akipenda ata kama ameolewa ujue lazima ataliwa tu na hii hutokea kutokana na mazingira alioko, mimi kama mimi nisinge achaa maana kama anajua yuko kikazi na ameolewa kwanini asijiheshimuMimi huwa nashangaa sana mtu kuja kuomba ushauri kuhusu kama atoke na mwanamke ambaye tayari anajua ni mke wa mtu.
Hizi akili ni za kichwa cha juu au cha chini? Unajua kabisa mtu ashawekewa beacon bado unaomba ushauri? Ebu acha kuharibu swaum za watu kwa kuomba ushauri kwenye masuala ya kipuuzi.
Alafu hapo kazini ulifata uzinzi au kufanya kazi? Usijifanye hujui kilichokupeleka. Utaishia kukosa vyote. Pambaf
mzee we tafuna pita na mia mambo ya kumpenda mke wa mtu sio poa unaweza muhariibia ndoa yake bureAkihama, Mimi Hanihusu Tena
Punguza Jazba, Mbona Ni Vitu Vya Kawaida Hivihuyu mse.n.ge anataka kunto akwenye fomu na fleni za leo hapa..ngoja nikacheki zangu boli...
ila jitoe ufahamu ivo ivo......
tena wewe unaonesha maji ya kunde una mi lips wewe utafaa sana..
endelea kujidai mpole mpole na mimiwani yako ka kobe...
Acha kuendekeza ujinga mkuu, kwani lazima uzini nae? Akijileta wewe jitoe jiweke pembeni. Siunajua ni mke wa mtu?iko hivi mwanake huwa akipenda ata kama ameolewa ujue lazima ataliwa tu na hii hutokea kutokana na mazingira alioko, mimi kama mimi nisinge achaa maana kama anajua yuko kikazi na ameolewa kwanini asijiheshimu
hapana hilo sio jukumu langu hlo ni jukumu lake yeye maana kama umeolewa kuna mipaka kama mwanamke lazima uwe nayo kama mazoea na watu. ku hug, kukiss, kupokea zawadi kwa mtu back, kukubali out, kuji weka mazingira ya kuliwa so MI NAKULA MTINGIJOLI Hakikisha unakula then nipe feed back kwa DMAcha kuendekeza ujinga mkuu, kwani lazima uzini nae? Akijileta wewe jitoe jiweke pembeni. Siunajua ni mke wa mtu?
ππππ OKRAWewe chapa tu! Mbaya kushikwa tu.....watakukata hiyo bamia upate adabu!ππ
Karma is a bitch.. Kula tu lakini jua nawewe kuna siku utaliwahapana hilo sio jukumu langu hlo ni jukumu lake yeye maana kama umeolewa kuna mipaka kama mwanamke lazima uwe nayo kama mazoea na watu. ku hug, kukiss, kupokea zawadi kwa mtu back, kukubali out, kuji weka mazingira ya kuliwa so MI NAKULA MTINGIJOLI Hakikisha unakula then nipe feed back kwa DM
[emoji23]hapana hilo sio jukumu langu hlo ni jukumu lake yeye maana kama umeolewa kuna mipaka kama mwanamke lazima uwe nayo kama mazoea na watu. ku hug, kukiss, kupokea zawadi kwa mtu back, kukubali out, kuji weka mazingira ya kuliwa so MI NAKULA MTINGIJOLI Hakikisha unakula then nipe feed back kwa DM
nakushauri usiangalie comment tena,chukua simu na kama leo jmosi mpigie aje akupe company.[emoji23]