Nahisi kumpenda my "Workmate"

MTINGIJOLI

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
1,460
Reaction score
1,476
Habarini wanajamvi,

Mliopo kwenye mfungo, hongereni kwa Swaumu.

Twende kwenye mada, mnamo mwaka Jana waliajiriwa staff wapya hapa ofisini kwetu, mmoja wapo kati yao nimebahatika kuwa nae kwenye Idara moja, kama mjuavyo utani wa maofisini mara aniite mpenzi, mara baby na namuita vivyo hivyo.

Siku moja nilimuomba tutoke akakubali, tukiwa outing katika mazungumzo ya hapa pale, akaniambia ameolewa na mtoto ila mumewe hawaishi pamoja kutokana na changamoto ya ajira, akanionyesha hadi picha za harusi.

Ila tuliendelea kuwa karibu, mara nimpeleke hadi kwake, mara nimletee zawadi kama chocolate, perfumes, siku aki order supu na mimi ananiletea, tukihug, analegea kabisa, she is free tunakiss.

Mara kwenye mazungumzo, aseme hapendi mwanaume anaekunywa ( Coz hua nakunywa sometimes) , baadhi ya staff wenzangu wanahisi tuna mahusiano, kwa kweli ni mzuri na mimi nampenda ila napata ugumu labda nitakapomueleza hisia zangu pengine nikaharibu kabisa au nikafanikiwa na nikikaa kimya sijui ananionaje?

Naombeni ushauri wadau, au nikae mbali nae? maana kadri siku zinavyoenda anazidi kunihamasisha, kumuota hakuishi, mwisho usiku wa Jana kuamkia Leo.

Ahsanteni na karibuni
 
Mke wa mtu anakwita baby halafu anakununulia supu, aisee huyu mke wa mtu ana invest game flani. Hivi hukununulia na karanga?

Sikushauri kumgegeda mke wa mtu, hebu fanya wewe ndie mumewe halafu kuna sharobaro flani ndio anataka kumgegeda utajiskiaje mkuu?
 
kuna watu wanatolewaga vichwa kwaajili ya kufumaniwa na mke wa mtu hivyo hivyo,

juzi juzi tu hap tumezika kijana mmoja hapo mtaa wa tatu alifumwa na mke wa mtu kwenye kitanda cha mwanaume mwenzie..... kilichofata ni GENOCIDE

mashambulio ya AIBU mengi.
 

Hahaha ***** eti karanga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…