Nahisi kufanya kitu kibaya msaada plz? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahisi kufanya kitu kibaya msaada plz?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by G spanner, Nov 7, 2011.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wakuu kuna fundi nimempelekea laptop yangu window ilikuwa inataka niuptudate nikachelewa ikawa black kwahyo alikuwa anaweka window nyingine amefanya kazi hyo kwa kama siku mbili japokuwa iko chini ya kiwango ok comp yenyew ni hp compaq presario q40 ram 2g na procesor 1.6 lakini naangalia properties ya comp. Nimekuta data kwamba INSTALLED MEMORY(RAM) 2GB PROCESOR 1.6 af pembeni kuna CHATA(ICON) YA DELL kwa mara ya kwanza nilimuuliza akanipa majib ya juu juu af kuna jina la comp kabla ilikuwa (user) saiz nakuta ac milan haya mambo yananisumbua na yananipa mzigo na hasira naomba maelezo wataaram je haya mabadiliko kawaida au ni nin?
   
 2. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Jina la computer inawezekana amebadilisha wakatia anaweka windows mpya.... iyo chata unayosema unaiona mwanzoni ilikua inaonekana chata gani au haukuona kitu chochote??
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,149
  Trophy Points: 280
  Mpeleke polisi.
   
 4. HT

  HT JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  dell na Hp mbona sijaelewa? Hebu punguza hasira useme vizuri.
   
 5. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ni kwamba nnapoangalia properties ya komputer khs ram na processor pembeni naona chata ya dell swala ambalo sijawahi liona kabla kwa mimi nadhani kuna mfumo kabadilisha kwani jama ni kawaida hili swala kwasab mi naangalia properties za laptop yangu hp af naona chata ya dell je inawezekana?
   
 6. M

  Mshahar New Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kaka kama hukumuamini kwanini umpe comp yako, hapa mi naona utakuwa unamuonea hii case ni kwamba ametumia windows xp royale au ametumia xp meant for dell pc's ndio maana umeona hiyo "chata ya dell" hata ukianagalia properties ni zilezile. kwa ufupi tafuta window nyingine nzuri halafu woga wako kwisha. Acha hisia zako mbaya au umezoea kuibiwa
   
 7. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Acha ushamba,amekuekea pirated window kama ilikuwepo apo awali,kanunue origina $ 200 tu apo PC SOLUTION mtendeni str.
   
 8. HT

  HT JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  unaweza kubandika screenshot ya hiyo properties window? Fuata procedure hii:
  fungua hiyo properties window
  bonyeza alt+print scr buttons
  nenda start--- program files -- accesories -- MS Paint
  click edit-- paste
  file -- save
  attach JF
  nataka kuona kama OS ndio ya Dell au amebadili motherboard (unlikely) kuwa ya dell
   
 9. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #9
  Nov 8, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
 10. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Umekosoa jukwaa wewe? huku sisi tunafundishana tu,haya majibu peleka jukwaa la wakubwa,mahusiano nk,jukwaa hili siyo la majibu kama haya

  hapa watu wanashusha vitu tu,Nilikuwa nakuheshimu sana lakini naanza kukuelewa kivingine kwani hata signature yako inassema kwenye red !
  "Show forgiveness, speak for justice and avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)
   
 11. M

  Mputi Member

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani inawezekana, os window mpya alokuwekea ameitoa kwenye os cd ya dell ambayo ilitoka na mashine dukani, its posbo mzeya wala hujaibiwa ila ameinstall window ya dell ilotoka dukani na mashine ya dell
   
 12. networker

  networker JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  kaka isue ya kawaida hiyo .As long ram yako iko vile vile ,nikwamba katumia cd original ya window sema ilikuwa aimed for dell hata isikusumbue akili we fanya isue zako tu,labda kama hiyo window inazingua badilisha weka nyingine.
   
 13. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #13
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pole sana,, kwanza ondoa hofu computer haijaharibika/haijaharibiwa ila inaonekana fundi ni wakimagumashi alichofanya jamaa ameinstall window isiyo na original product key so alipomaliza kuinstall hiyo window feki ilimlazimu ai-crack ili product key ya window ionekane ipo activated then wakati wa ku-crack alikosea kuchagua OEM ya aina ya computer yako..yeye alichagua OEM ya dell badala ya HPCompaq...ILA HAINA EFFECT YEYOTE KAMA UNAONA COMPUTER HAIPO KWENYE HALI YAKE YA KAWAIDA(procesing speed) UNAWEZA UKAFORMAT TENA KWA FUNDI WA UKWELI AKAKUWEKEA WINDOW AMBAYO NI NZURI,,,
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kuna polisi tz anaelewa hata DELL ni nini?????????
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Kweli kuna watu wana presha za kujitakia! Yaani emotions zote hizo juu ya icon,tena ambayo hujaielewa? How do u handle life stress?unaagiza jitu spare ya $ 1000, afu anakuletea the wrong one na gharama ya kuirudisha ni kubwa!? Si utaua bure?
   
 16. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #16
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Haah FF punguza mashuzi...kama kichwa chako kipo full empty bottle ni bora uwe msomaji tu.
   
 17. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  my thoughts exactly!
   
 18. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #18
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ok thanks wakuu nimewaelewa sana na mapigo ya moyo yaishakuwa normal. Thanks again bt naomba kujulishwa kuhusu mother board ya laptop na je inaweza badilishwa?
   
Loading...