Nahisi kuchanganyikiwa

Wasiliana na Dr Fatma Maganga &Co ili kujua wanatumia mbinu gani kupora waume za watu bila jasho.
 
Daah Dunia sio far,Hivi ni kwanini tusibadilishane matatizo??
Nina lundo la matatizo ila wenzagu vitu vinavowasumbua nivya kijinga sanaa,Eeeh Mungu ikikupendeza tubadilishie matatizo na huyu kiumbe jmn wako mana hana akili kbs
Uzuri kila mtu hupewa matatizo yake kama yako unayaona makubwa kuliko ya wenzako na wenzako wanayaona matatizo yako ni madogo so usikejeli mtu anapopitia changamoto hujui mtu yupo katika hali gani
Watu hujiua hata kwa vitu ambavyo sisi tunaona ni vidogo
 


Ukiwa shangazi na kupitia mishale mingi huu utoto utakuisha, utatamani ukae hata na huyo huyo mwanaume mwenye mke wake, tena siku hizi wanawake wanawakimbilia wanaume waliooa, sbb wanajua majukumu na kulea, huo utoto utakuisha ukipata mtoto wako wa kuzaa..!!
 
Ukiwa shangazi na kupitia mishale mingi huu utoto utakuisha, utatamani ukae hata na huyo huyo mwenye mke wake, tena siku hizi wanawake wanawakimbilia waliooa, sbb wanajua majukumu na kulea, huo utoto utakuisha ukipata mtoto wako wa kuzaa..!!
Duuh
 
Shikilia hapo hapo wakati unajitafuta, maana soko ni gumu

Cha msingi anza kumkataa mdogo mdogo wakati unatafuta back up nyingine
 
Afu hapo ukute ulishatongozwa na mkaka wa watu ukamkataa ukakimbilia mume wa mtu kumbe nae ana ndoa yake, maaaamae, utajua mwenyewe pambana na Hali yako,

Maana hata ukirudi Kwa uliowakataa utakuta nao tyari Wana wapenzi wao. Wanawake huwa hamjielewi pambana na Hali yako.
 
He care, ninapo muhitaji wakati wote yupo ninapomuelezea matatizo yangu ananisikiliza.. hajawai nidharau na si kwamba ana pesa.. ni kijana wa kawaidaa tu but he knows what to do
kama kaoa huyo sio sahihi kwako
 
Story hazifanani mkuu usifikiri kila mtu alipitia njia aliopitia ex wako
Wenginee tulikuwa single tunajilia maisha tukaja danganywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…