Nahisi kuchanganyikiwa msaada please

Nahisi kuchanganyikiwa msaada please

Mbulukenge

Senior Member
Joined
Jun 26, 2019
Posts
135
Reaction score
313
Me ni degree holder ila naona life limenishinda kabisa.

Napata majanga kwa kila nacho fanya nimejaribu kulima ila mazao yalikauka, nikasema nifanye biashara sasa navyo ongea hivi mtaji ote umeteketea,yaani loss imekua kubwa kuliko profit.

Msaada wa mawazo ndugu zangu nifanye nini natamani ata kufanya illegal business ili nipatae angalau pakula na kulala.

Legal business imenitesa tu for 4 years now mliofanikiwa especially graguates wenzangu msaada wa mawazo.
 
Usiishi kwa kutazama wenzako wamefanikiwa ile hali wewe bado hujui kesho yako.

Ulijua baada ya ku-graduate utapata nafuu kimaisha ila hali imekuwa sivyo cha msingi ni kuacha kuwaza illegal issues.

Pole kwa wakati mgumu unaopitia ila kuna watu wana changamoto kubwa zaidi yako. Kama wewe unaweza kupata hata mtaji wa kilimo na biashara huoni una unafuu zaidi ya wengine.
 
Ukitaka kufanya biashara usiifanye kisomi biashara ukiifanya kisomi lazima uumie

Maana hapo juu umetaja majina ya biashara ambazo sijawahi hata kuzisikia

Ni sawa sawa na kazi ukitaka kufanya kazi usifanye kazi za watu waliosoma

Kama security au shopkeeper
 
Me ni degree holder ila naona life limenishinda kabisa...
Mkuu kwenye mafanikio hakuna usomi hata kidogo na ukitaka ufanikiwe achana na hiyo imani ya kijinga ya usomi, vyote ulivyojaribu kufanya vinafanywa na watu wa kawaida kabisa na vinawapa faida nzuri tu ila wewe vimekushinda.

Anza kuishi kama mtu wa kawaida.
 
Me ni degree holder ila naona life limenishinda kabisa...
sasa i could assist you, help you, lakini ulipotaja your fellow graduates nikakoma, je usasoma historia ya waliofanikiwa katika maisha kwa hali ya juu, wengi hata hawakumaliza mwaka wa pili hapo chuo hata kaa wengi walisoma ulaya na huko ndiko walipozaliwa, a DEGREE is not a must for you to succeed in life, CREATIVITY AND INNOVATION ARE
 
Ukitaka kufanya biashara usiifanye kisomi biashara ukiifanya kisomi lazima uumie

Maana hapo juu umetaja majina ya biashara ambazo sijawahi hata kuzisikia

Ni sawa sawa na kazi ukitaka kufanya kazi usifanye kazi za watu waliosoma

Kama security au shopkeeper
Mkuu huu ushauri ndio nausikia leo,
kweli peruzi uone mengi..
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Me ni degree holder ila naona life limenishinda kabisa.

Napata majanga kwa kila nacho fanya nimejaribu kulima ila mazao yalikauka,
nikasema nifanye biashara sasa navyo ongea hivi mtaji ote umeteketea,yaani loss imekua kubwa kuliko profit.

Msaada wa mawazo ndugu zangu nifanye nini natamani ata kufanya illegal business ili nipatae angalau pakula na kulala.

Legal business imenitesa tu for 4 years now mliofanikiwa especially graguates wenzangu msaada wa mawazo.
Pole sana ndugu, kweli kuna changamoto kubwa sana kazi kwa miaka hii.kuna jamaa nmfamu ni graduate anafanya kazi za ulinzi. Ambayo kwa kwa graduate ni kwamba amefanya maamuzi magumu. Kwa nyakati hizi kabla hujafanya lolote ni lazima kuangalia jamii iliyokuzunguka inahitaji nini, ukaweza ku solve problem yao hiyo ni fursa.

Pili kama sehemu uliko kuna maji ni vema uangalie kilimo cha umwagiliaji, ambacho kwa asilimia kubwa unaweza kufanikiwa.
Mimi nafanya kazi nimewaza kitu gani nifanye kuniongezea kipato, ambacho sitaajiri mtu.

Nikapata wazo la kulima mapapai ya kisasa kwenye plot yangu, nikatafuta wataalamu tena kwa njia ya mtandao, nikafanikiwa nilipadikiza miche 50 sasa ina miezi minne tayari matunda yameanza kuonekana miezi sita nitaanza kuvuna.

Mategemeo ni kupata kuvuna matunda mawili kila wiki. Hata nikiuza kwaTsh 1000 /=
50×2=100 hayo nikiuza 1000×100=100,000/=
Sumbua akili utatoka
FB_IMG_1566480616975.jpeg
 
Usiishi kwa kutazama wenzako wamefanikiwa ile hali wewe bado hujui kesho yako.

Ulijua baada ya ku-graduate utapata nafuu kimaisha ila hali imekuwa sivyo cha msingi ni kuacha kuwaza illegal issues.

Pole kwa wakati mgumu unaopitia ila kuna watu wana changamoto kubwa zaidi yako. Kama wewe unaweza kupata hata mtaji wa kilimo na biashara huoni una unafuu zaidi ya wengine.
Ameomba msaada wa ushauri mkuu!! hapo umeelezea matatizo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom