NAHISI KUCHANGANYIKIWA aka CONFUSION

Lawkeys

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
1,118
287
Hebu angalia hii:bowl:

BIBLIA vs Mapokeo

Ukila Tunda Utakufa - Hufi utafanana na Mungu, tena roho italazwa mahari pema peponi
Sabato siku ya 7 (Jumamosi) - Dominica siku ya kwanza (Jumapili)
Ubatizo wa Kuzamisha majini - Nyunyiza kichwani inatosha
Batiza mtu mzima - Batiza mtoto mchanga
Usile nguruwe (Isaya 66:16) - Kula vyote tu
Pasaka kwa Ukumbusho wa Yesu - Xmas Yesu, xmas tree na father Xmas
Mtu akifa haindi mbinguni (Mhu 9:5) - Mungu ailaze roho mahali pema peponi
Usizini amri ya 7 (Kutoka 20) - Usizini amri ya 6
Mwombezi Yesu (Ebrania) - Bikira Maria na kitubio inatosha
Amri ya 2 usijifanyie sanamu (Kut 20) - Acha sio ya lazima

Ndugu zangu msidanganyike, Yako 1:16

Najua ilitakiwa iwe mambo ya Dini, lakini hizi ni hoja mchanganyiko, au!
 
mambo ya dini magumu sana ukiamua kufuatilia kiundani lkn fuata roho wa Mungu na biblia yako vinavyokuambia
 
wewe fuata imani yako...ukichokonoa sana utachanganyikiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom