Nahisi kuachana nae

Nahisi kuachana nae

Guyz kuna dem mmoja ambae bahati nzuri tumepata mtt pa1 japo linapokuja swala la kumwoa moyo wangu ni mgumu sana na yeye amikuwa kila siku akinisihi nmwoe.Nna wakati mungu sababu kwanza dini zetu ni tofauti na kwa muda nilokuwa nae nahisi si msichana nnaehitahi kuishi nae. Nishaurini watu wangu wa nguvu nifanyaje!

Naamini umebadilika baada ya kuhisi umezaa naye na unaonekana tokea mapema hukutegemea kuwa na malengo naye. unajuwa ''Sometimes you can do something that don't like for a change'' ni sehemu katika maisha.

Ni vyema ukabadilisha au akabadilisha dini mukawa dini 1, naamini mmoja atakuwa muislamu hiyo ndio dini sahihi. then mfanye toba, muoane mlee kizazi chenu otherwise utaenda kujifurahisha kwa mwanamke unaehisi ndio maisha yako lakini adhabu iliyo kali na iumizayo itakuwa inakusubiri
 
Kuna vitu vingine vinatia hasira! Ndiyo maana hili jukwaa huwa sipendi kuingia humu naweza pigwa life ban! We ulisha mzalisha tayari halafu unasema hutaki kumuoa unataka nani aje amuoe? Kuna wanaume wengine ni wa kuwabinya kende njoo huku!

Teh teh hamia UKAWA ndugu hutakua na hasira ivyo teh teh na huyu mwenye jina la kende atakua ni mzima akilini ebu abadilishe ile jina maana ka naona aibu
 
Last edited by a moderator:
I know you have so many things you have experienced. Itakuwa ni kujifunza zaid kwa wengine if you share pliz Hornet

Mu-sir kuna dada mmoja kaja kwangu juzi analia miaka kadhaa nyuma alikua kwenye mahusiano,
akampenda sana huyo jamaa wakakubaliana kuzaa na akazaa nae mtoto mmoja,bibie anasema akasubiria mipango iendelee mpaka akachoka akiuliza anajibiwa bado najifikiria,
bibie anasema akaweka mpaka ratiba ya gym yaani alikua tayari kufanya chochote kumridhisha mwanaume,
ila mwisho wa siku jamaa akamwambia bibie ajiongeze kwa kuwa yeye siyo chaguo sahihi.
mdada anasema mpaka leo anahisi anaota,
hajaweza mpaka leo kusimama na kujenga mahusiano mapya.
ndo maana nilivyomsoma huyu jamaa ikabidi nifikirie na upande wa huyo msichana anayemuita demu.
 
Kweli lakini hizi kesi sio vizuri kuhukumu kwa kusikiliza upande mmoja tu.. makesi kama haya huwa yana sababu nyingi nyuma ya pazia
 
Last edited by a moderator:
Naamini umebadilika baada ya kuhisi umezaa naye na unaonekana tokea mapema hukutegemea kuwa na malengo naye. unajuwa ''Sometimes you can do something that don't like for a change'' ni sehemu katika maisha.

Ni vyema ukabadilisha au akabadilisha dini mukawa dini 1, naamini mmoja atakuwa muislamu hiyo ndio dini sahihi. then mfanye toba, muoane mlee kizazi chenu otherwise utaenda kujifurahisha kwa mwanamke unaehisi ndio maisha yako lakini adhabu iliyo kali na iumizayo itakuwa inakusubiri

Kwann uislam ndo unaona ni dini sahihi?
 
Mmmmmm hebu jiweke upande wake alaf ujiulize kama ni wewe ungefanyiwa ivo ungejihis vipi ??? Mwombe abadil dini muwe pamoja fraa haitafutwi kihivo utazalisha tena alaf uhis sio saiz yako - Kama vipi zungumzeni tofauti zenu then utamwona kama siku ile ya kwanza SASA WATAKA NANI AJE AMUOE ?? NA UJUAVYO WAKISHAJIFUNGUAGA KUNA KUWA NA UKAKASI WAKUOLEWA ?? be kind lol
 
ivi kwani kuoa ni lazima??!?!!??!?!?!?!!!!!!!!!
 
ndoa ni suala la hiyari...sio lazma..kwaio usiumize io kichwa yako aseeee
 
Umezaa naye, halafu sio msichana umayemhitaji?!
Hapo mmekutana mvulana na msichana. ....
 
Huwa nashindwa kuelewa, wanadamu huwa tunaitoa wapi hii roho????
 
  • Thanks
Reactions: Aza
it takes two to make a baby, sasa mnavosema amemuaribia maisha kwani huyo mwanamke alikua hajui anachokifanya. Angefunga ndoa kwanza kama alitaka kabla hajavua pichu
 
Watu wako wa nguvu humu umewatoa wapi????

Mzazi mwenzio utamwitaje demu???

Anyway.... hebu nijibu kwanza

Mpaka unamtongoza....
Mnagegedana
Mnamimbana

Hukujua kuwa si wa dini yako wala hamuendani????
Paulo Sergio De Souz alisema hata mama yake ni "demu", duuuh nalichukia hilo neno!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna vitu vingine vinatia hasira! Ndiyo maana hili jukwaa huwa sipendi kuingia humu naweza pigwa life ban! We ulisha mzalisha tayari halafu unasema hutaki kumuoa unataka nani aje amuoe? Kuna wanaume wengine ni wa kuwabinya kende njoo huku!

ndugu jambazi taratbu atakuelewa
 
Last edited by a moderator:
Huyo ndo wako acha mambo yako. Umemzalisha mtoto wa watu afu unataka akaolewe na nani sasa!!!???
 
Mungu atakupa mwanamke atakae kuumiza mpaka ukome au ataruhusu dada yako afanywe hivyo ukiona endelea tu na upuuzi huu, waulize wangapi wanapendwa na wake zao humu utaelewa
 
  • Thanks
Reactions: Aza
hatma ya mtoto wako ni nini baadaye kwa huyo utakayemwoa zaidi ya kunyanyaswa.ndo maana wimbi la watoto wa mitaani zinaongezeka kwa sababu ya watu kama nyie .
 
Back
Top Bottom