Nahisi kama tumeachana....!

Nahisi kama tumeachana....!

Pwa pwa pwa pwa na la mwisho pwaaah mbona makofi mengi hivyo unasema matatu
 
Nimependa hio ya makofi pwa pwa pwa na akalia wee ...teh muache dada wa watu we si ulitaka muachane
 
Pwa pwa pwa halafu mbwatena unasema ni matatu au mengine ulipigwa wewe
 
Ah mwanawane mwache zake...baada ya mambo yatakuwa poa. Kwanza hafai huyo hana adabu...u cnt just go abt destroying ppls properties just like that.

Welcome back mkuu, ulipotea sana. Jamaa yetu kachemsha na nnachokiona hapa, ameshamchoka hizi ni sababu tu.
 
We mi mwanaume hanichapi kwani kawa baba yangu mzazi kuchana picha kawaida sasa kama mapenzi yameisha picha za nini hapo tu sijabadilisha dini na ujanioa je ukinioa si yatakuwa mangumi si makofi aiii babu we mi singoma baba tenda baba nenda katafute ngoma ya kuipiga
 
We huna adabu angekua ex wake ukamkuta nazo?ungejiskiaje?kazipanga vizuri,kumbukumbu kichwani haikutoshi?hata miningechana na ningekuacha vilevile,kafanya la maana kuondoka,uchumba tu unampiga ukimuoa utamfanya nini?we ulikua unatafuta kisa
 
talk with your feeling...
kama unampenda mrudishe kama humpendi piga chini.
 
Amechana picha za spirit wife sasa puchu utapigaje?
 
Unatakiwa ujue hasira zipo za iana tofauti na kama ni kweli unavyosema hujawahi kumtajia huyo mtu we nafikiri kwa akili za haraka haraka angefanya nini?

Ila kwa kumpiga umekosea mapenzi ya sasa ni ya kueleweshana sio ya kutumia nguvu.[/QUO

nimekosea kumpiga....ndio maana namuomba msamaha...!
 
Piga picha ungemkuta na picha za Ma X wake alizohifadhi kama kumbukumbu yake ya kurecall experience zake na wao uzeeni ungejisikiaje?
Kama ni home kwake haina shida, ila akija nazo kwangu ndio shida! Pale amezikuta kwangu, angekuwa mpole tu, coz sijawahi kumfanyia faulo toka nimjue...
 
Ushauri, nimpotezee au nimtafute kwa msamaha wa kweli?

Dah! we kweli maamuzi magumu huyawezi. Yani umedicide kumuacha mtu hata 24 hours hazijapita unashindwa kuvumilia. Kwa kifupi tu, feelings ulizo nazo sasa hivi sio valid. NI mihemko tu inakusumbua. We tulia muda ukipita na wakati keshapata bwana wa dini yake ndo utajua mbivu zipi na mbichi zipi. Trust time, it'll always tell.
 
Sijaelewa kwani alikuwa mchumba na mlikuwa mnaishi wote au sijaelewa vizuri
 
Idadi ya makofi sio matatu, ni manne yaan
Pwa pwa pwa pwa na la mwisho Pwaaaaa.

Nakushauri upotezee tu, maana mchezo wa mapenzi ndio huwa uko ivo. Wewe saiv unambembeleza, ikipita wiki mbili ataanza yeye. So kawaida sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom