Mimi sio mtanzania bro forgive me kwa kuandika kwanguPia una ugonjwa mwingine wa uandishi wa hovyo ila hujagundua tu kua huo ugonjwa nao ni tatizo.
Huko piemu Kuna kiingilio mkuu ?Njoo pm na majina kamili na lini umeanza kazi na kazi gani unafanya,,Nijaribu kukusaidia
Ndio mana amesema anahisi amerogwa maana kila kitu kwake vulumaiPia una ugonjwa mwingine wa uandishi wa hovyo ila hujagundua tu kua huo ugonjwa nao ni tatizo.
wachawi utawajua tu, huwa wanapendekeza kumwomba Mungu, wakati nao wanapenda kujificha huko huko makanisaniSimama katika maombi,angalia sehemu sahihi,ambapo wanamwabudu Mungu wa kweli
,uwe na imani naamini yatakwisha
Hii comment yako ina lenga nn mkuu, kwamba ushauri wangu ni mbaya na kunifananisha na mchawi au sijaelewa naomba nieleweshe.wachawi utawajua tu, huwa wanapendekeza kumwomba Mungu, wakati nao wanapenda kujificha huko huko makanisani
Tafuta cure, Mungu aliomba vyote duniani tuvitumie pia akagawa na vipawa kwa wataalam mbali mbali pale tunapishindwa sisi tuwatumie . Amina
Hapana ushauri wako si mbaya ,kuwa makini ni muhimuHii comment yako ina lenga nn mkuu, kwamba ushauri wangu ni mbaya na kunifananisha na mchawi au sijaelewa naomba nieleweshe.
Wataalam gani unaowazungumzia ambao wamepewa vipawa tuwatumie!,tujadili hili mkuuHapana ushauri wako si mbaya ,kuwa makini ni muhimu
Anxiety disorderPole mkuu sasa hujasema ukifikaga hospitali vipimo vinasemaje!? Pia huo ugonjwa wa hofu ya shambulio vipi dalili zake ni zipi na huwa unaandikiwa dozi gani kuutibu? Yawezekana na wengine tukawa nao pasipo kujua!
nashauri kama ukiweza badili makazi, kuna mtu alikuwa mfanyakazi kama wewe wakati akiwa wilaya nyingine alikuwa akisumbuliwa na tatizo la mgongo kuuma lakini toka alivohamia wilaya nyingine tatizo hili hakuwahi kuliskia tena!