Daaaah
Shkamoon wakuu
Baad ya kuachana na yule mpnz wangu na kuachana na ile mibaba nimekuwa na amani,japo nilikiwa katika wakati mgumu sana imebidi nidanganye ile mibaba kuwa waniache me nina magonjwa nitawaambukiza mmoja alikuwa teyar nimwambukize ugonjwa wwte kama nnao lakn nkamwambia sitak dhambi tafuta wanawake wengne niache tumeenda naona sasa kanielewa..
Kama mjuavyo mwanamke mrembo anatakiwa kupendwa,
Kuna mkaka wa hum hum jf kanipenda nimedate nae jana ni mkurya msabato nimevutiwa nae na kaonesha kunipenda sana kanipeleka hadi nyumban kwao i cnt explain nahis na mm nmependa nahisi huyu ndiye mume wangu ana kila sifa ya mwanaume ambaye huwa namuota awe mume wangu hapa nshachanganyikiwa siamn jaman jf imenipa mume pasipo kutegemeaaaaa
Nawapenda wote
Nampenda pia evelyn slt
daaah thread za huyu dada nahisi ni tofaut na hali halisi aliyonayo pengine anafanya hivo ili ajulikane humu ndani au apate komenti nyingi,kama kapata mume wa kwel hongera zake kama ndo gumegume kila la kheri.ila naona wivu ina maana jamaa anameipata PAPUCHI ya umukagame!
Nshapendwa na mukurya tuliaaaa
Hivi unajua miss neddy ni mpenzi wangu?
Sipo dar ,..sema
Ila hii road kuja kwenu inafoleni sana....sometime kubaki njia kuu ni shida tu
Kumradhi Asprin ila kosa ni la miss neddy miaka yote hii hajaniambia
Hivi unajua miss neddy ni mpenzi wangu?
Hivi unajua miss neddy ni mpenzi wangu?
Halafu wewe babu Asprin unamtangazia mtu kumbe ata hakujui? Unabahati sana ila ningekuchenjia....
Jamani jamani jamani.
Mama yangu ni mwanamke kama wewe ujue.
Halafu wewe babu Asprin unamtangazia mtu kumbe ata hakujui? Unabahati sana ila ningekuchenjia....