Nahisi kama naota vile

Hivi umukagame hizi hadithi huwa ni za ukweli? then una undugu wowte na paul kagame? any wy mi nko zangu kwetu pazuri hapa, tusker baridiii!
 
Last edited by a moderator:

Mala haba :lol:
 
Kama kuna kitu sintakuja kukifanya maishan ni kugeneralize mambo!....bado hamjaoneshana vitimbi apo!...

Mbna wanaume karbu wote ukimpata mwanzon n kama nabii ila tukianza vitimb unaaga mashindano tena ata viatu unasahau...

If i were u...ningefunga bakul langu kwa muda kwanza npate nafac ya kumjua mwenzang...

Hauchelew kutuletea stori zingne za oooh kwa kwel.......

Ata ivo nkutakie kila la kheri kwenye safar iyo
 
Hivi umukagame hizi hadithi huwa ni za ukweli? then una undugu wowte na paul kagame? any wy mi nko zangu kwetu pazuri hapa, tusker baridiii!

...#Kwetupazuri napajua...I drove over there 2 weeks ago...ni noma....sehemu ndogo iko very HOOOT...Tabata Sanene nadhani...ni balaaaa..!!!
 
Last edited by a moderator:
hahaahah eti umukagame hamna harusi sooo sad

..
...Yaani huyu atawaaibisha nyie wanawake wenzake...she reached puberty hana hata bikra moja....very very hovyo...haya majina haya dada yangu ni shidaaa..eti #umukagame ....zinaaa.. zinifuu..zogaaa...kitoto kamaliza wanaume wote...!!! hafai hata kutwa SANGINGI HUYU... ni ndito mmbaya...!!! chafuuu..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…