Black African
Member
- Oct 17, 2011
- 24
- 3
aiseee hebu weka picha yako kwanza
za nini mkuu?tuma cv na picha tatu kwa bebii.
theteheteheth!! Weka picha tukudhaminishe ili tukupe ushauri wa kiutu uzima!!aiseee hebu weka picha yako kwanza tuone kama kweli wewe kivutio isije ikawa upo kama umelipuliwa na baruti then unajisifu hapa
Wana Jf habari za leo,muwaje na shughuli zenu za kila siku?Nawaombeni kila mmoja kwa kutumia uzoefu wake juu ya masuala ya uhusiano anijibu, ni aina gani ya wanaume wanakuwa kivutio kikubwa kwa wanawake wengi hususan katika uwanja wa mapenzi?majibu yenu nahisi yataniwezesha kujitathmini maana wanawake hunizoea haraka na kunifanya niwe na idadi kubwa ya marafiki wa kike,hali ambayo mpz wangu haifurahii.pls nipatieni huu msaada.