Jamani wana jamii forum
Mimi ninatatizo moja nikiwa ananza kusex nahisi damu inapanga kichwani yaani mishipa yote ya kichwa inakuwa imesimama, hali hiyo inanifanya nakosa na hamu ya kuendelea na tendo je nitatizo gani naweza kuwa nalo? Msaada plz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.