Inawezekana akawa ni malaika lakini pia inawezekana asiwe ni malaika ila umeunganisha tu matukio kwa kuvipata vifaa vyako vilivyopotea, katika hadithi nyingi za watu waliotokewa na malaika, inasemekana malaika hawakuwabembeleza kuwapa vitu kama we we wala hawakupata kuwa na maongezi marefu ya kumhoj malaika, ila tu ulitenda jambo jema kwa msaada na mungu akaamua kukutendea miujiza ya kuupata mzigo kwako kwani pia ulitolewa na beki tatu wako katika mazingira ya kutatanisha
Aaisehh barikiwa mpendwa katika jina la bwana
japo stor mbili sijaona muunganiko wake mi nilifikiri huyo bibi ndio kakuokotea mahali laptop yako
anyways,ulichukua namba za simu za bibi?nirushie kama vip nmeibiwa godorothts why naunganisha dots na yule bibi unajua hatukuamini kbs ! maana ni ngumu sana !imagine maofisin watu wanaiba laptop sembuse kitaan mtu akurudishie jaman