Rock city peoplez nitawamiss sana i will miss home sweet home..........
mupenzi
Slave kwa ajili yako nitafanya namna nihame nirudi nyumbani naamini
Baba V atanisaidia kwa hili, shostito wa ukwee
charminglady na
Beiby Nasty nitawamiss mbaya, kabla sijaondoka naomba tuonane tafadhali,
Nicas Mtei nitafurahi kukuona pia....!!!!
Wanajf wa Singida natarajia kuwa kuwa mgeni wenu wa kudumu kwa muda usiojulikana kuanzia ijumaa tarehe 8 march, naomba kuwa na mwenyeji mitaa hiyo,nitafurahi kuonana na kuwa na nyie!!!!
Weekend njema!!!