Ketoka JF-Expert Member Joined Sep 23, 2015 Posts 1,121 Reaction score 1,983 Jul 11, 2018 #1 Nimehamishiwa wilaya ya Makete kikazi, Anayejua maisha ya hiyo wilaya na changamoto zake ,naomba maarifa ya kutosha
Nimehamishiwa wilaya ya Makete kikazi, Anayejua maisha ya hiyo wilaya na changamoto zake ,naomba maarifa ya kutosha
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,447 Reaction score 110,234 Jul 11, 2018 #2 Ukimwi upo juu sana Tuliza mkia ndani ya boska
Ketoka JF-Expert Member Joined Sep 23, 2015 Posts 1,121 Reaction score 1,983 Jul 11, 2018 Thread starter #3 Da'Vinci said: Ukimwi upo juu sana Tuliza mkia ndani ya boska Click to expand... Duh!
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Jul 11, 2018 #4 Da'Vinci said: Ukimwi upo juu sana Tuliza mkia ndani ya boska Click to expand... Ushaanza kuwa Kichaa siku hizi.
Da'Vinci said: Ukimwi upo juu sana Tuliza mkia ndani ya boska Click to expand... Ushaanza kuwa Kichaa siku hizi.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Jul 11, 2018 #5 MAGACHA said: Nimehamishiwa wilaya ya Makete kikazi, Anayejua maisha ya hiyo wilaya na changamoto zake ,naomba maarifa ya kutosha Click to expand... Mkurya na Makete wapi na wapi Mura?
MAGACHA said: Nimehamishiwa wilaya ya Makete kikazi, Anayejua maisha ya hiyo wilaya na changamoto zake ,naomba maarifa ya kutosha Click to expand... Mkurya na Makete wapi na wapi Mura?
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,447 Reaction score 110,234 Jul 11, 2018 #6 Mbao za Mawe said: Ushaanza kuwa Kichaa siku hizi. Click to expand... Sio ukichaa mkuu. Huo ndo ushauri wa almasi (Platinum advice) Mm najali afya na uhai wake ndo mana nimemuonya.
Mbao za Mawe said: Ushaanza kuwa Kichaa siku hizi. Click to expand... Sio ukichaa mkuu. Huo ndo ushauri wa almasi (Platinum advice) Mm najali afya na uhai wake ndo mana nimemuonya.
Ketoka JF-Expert Member Joined Sep 23, 2015 Posts 1,121 Reaction score 1,983 Jul 11, 2018 Thread starter #7 Mbao za Mawe said: Mkurya na Makete wapi na wapi Mura? Click to expand... Tata nimehamishiwa huko,natafuta wenyeji ili nipajue vizuri
Mbao za Mawe said: Mkurya na Makete wapi na wapi Mura? Click to expand... Tata nimehamishiwa huko,natafuta wenyeji ili nipajue vizuri
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Jul 11, 2018 #8 MAGACHA said: Tata nimehamishiwa huko,natafuta wenyeji ili nipajue vizuri Click to expand... Sawa Mura "maghoro maiya"
MAGACHA said: Tata nimehamishiwa huko,natafuta wenyeji ili nipajue vizuri Click to expand... Sawa Mura "maghoro maiya"
Eminem jr JF-Expert Member Joined May 21, 2018 Posts 2,006 Reaction score 4,617 Jul 11, 2018 #9 ngoja waje wenyeji
Queenever JF-Expert Member Joined Aug 16, 2017 Posts 2,051 Reaction score 3,027 Apr 14, 2019 #10 Vipi umeshakuzoea?? Namimi nakuja,, MAGACHA said: Tata nimehamishiwa huko,natafuta wenyeji ili nipajue vizuri Click to expand...
Vipi umeshakuzoea?? Namimi nakuja,, MAGACHA said: Tata nimehamishiwa huko,natafuta wenyeji ili nipajue vizuri Click to expand...