Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,055
- 2,914
Tsh 2000 1gb kwa siku saba unahama, njoo tigo kwa hela hiyo upate mb 800 24hrsBei za vitu zmepanda hadi mabando yamepanda...
Nina laini za ziada mbili ambazo n tigo na airtel...vp huko kuna afadhari kwenye mabando???View attachment 877930
Tatzo n kuwa 1 GB huwa namaliza kwa 2-3 days.....mchongo n ttcl tu hapaTsh 2000 1gb kwa siku saba unahama, njoo tigo kwa hela hiyo upate mb 800 24hrs
Unaelewa nini unapoambiwa YA KWAKO TU?Tatzo n kuwa 1 GB huwa namaliza kwa 2-3 days.....mchongo n ttcl tu hapa
uende wapi, wote ni wezi, wamekuja kuinvest hela zao zizae faida, watengeneze faida! Hakuna mwema!Bei za vitu zmepanda hadi mabando yamepanda...
Nina laini za ziada mbili ambazo n tigo na airtel...vp huko kuna afadhari kwenye mabando???View attachment 877930
Tuonyeshe bei za Mabando yakeHamia TTCL
Tsh 2000 1gb kwa siku saba unahama, njoo tigo kwa hela hiyo upate mb 800 24hrs
Mimi natumia hicho cha shs 10,000 GB 10TTCL vifurushi cha wikiView attachment 878492
Ww unaonekana ni mwanafunzi unaetumia university offerBei za vitu zmepanda hadi mabando yamepanda...
Nina laini za ziada mbili ambazo n tigo na airtel...vp huko kuna afadhari kwenye mabando???View attachment 877930
Si jambo zuri hili.Ttcl huongezi bando hadi lililopo muda uishe
Kweli kabisa .....mb n chache yaan..DKK nyng hata haziishiTatizo watu hampigi simu wala kutuma text. Mnatumia bundles tu. So wanawaongezea gharama ya bundle kwa kuwapa MB kiduchu na ma meseji meengi!