Nahama voda rasmi....

Nahama voda rasmi....

Kwa internet Tigo na Airtel ipo too slow mwendo wa Kobe, Voda na Halotel ni speed nzuri

Ni baadhi ya maeneo tu Mkuu,,npo Dom mjini nertwok ya tigo iko vizuri tu kias chake lakini nikiwa Mbeya tigo ni ya hovyo sana
 
Tsh 2000 1gb kwa siku saba unahama, njoo tigo kwa hela hiyo upate mb 800 24hrs
Hata mimi nimemshangaa. Wakati mie nimehamia voda kwa sababu ya hiyo bundle ya 2000/= nilikuwa airtel kabla
 
Tujifunze kugharamia vitu maana ndio maisha yalivyo, hakuna kwenye unafuu
 
Huku tigo usijeee wameongeza gharama za kutuma pesa
 
Back
Top Bottom