Nahama, nauza vitu vya ndani

Nahama, nauza vitu vya ndani

7f752d21a75f35980c4ed4c9f99b88a4.jpg


Friji brand BEKO linafanya kazi vizuri ....lina sehem ya friji na freezer
Being 450k

d67ae8fdfee8a34832c7ad067c58e02c.jpg



b65c63e3b567ee6ed6f1d186ffbc10d0.jpg


Kiitanda cha mninga 6*6 godoro nchi 8 kwa laki 350K

a5f7a507f43e74b926eb772bce74f3b6.jpg


Kabat la nguo [HASHTAG]#mchina[/HASHTAG] lina marekebisho kidogo laki140

Napatikana Dar es salaaam
Wa mkoani ukinunua unatumiwa kwa garama zako

Serious customer check me
0674843289
Uyu mchina atafia njiani uyu akiwekwa sehemu ni mwiko kumuhamisha
 
Zamani kujaza makorokoro ndani ilikuwa ni sifa lakini siku hizi ni tofauti kabisa..
Sema huna pesa tu...sasa hapo kipi ni korokoro kati ya alivyotuma muuzaji?
Fridge,kabati la nguo na kitanda ni makorokoro? Hahahaaaaa ama kweli hii ni JF na vituko vyake.
 
Hatuna haja ya kujua sababu za kukufanya uuze. Wewe sema unauza tu
 
Mkuu kwa nini usihame na vitu vyako? Kununua vingine huoni gharama?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom