Nafuu vunja bei electronics

Nafuu vunja bei electronics

Kwa tangazo ili!kupata mteja ni sawa kumtukana mamba kabla haujavuka mto!tangazo LA kipuuzi kabsa!hakuna Picha za Bidhaa na bei!?maelezo hafifu!
 
Kwa mahitaji ya vitu Vya umeme majumbani tunazo.Tunapatikana kkoo msimbaz na China Plaza FL ya pili tunakuletea ulipo mda wowote sisi ni huduma kwanza malipo baadae free delivery 0714417739 /0763251378
Huyu alietuma tangazo hili ana matatizo
 
0228490e48d715fa642eb6accaca4044.jpg
db465addc9887c4f56686d7cae18d7f9.jpg
593eb10656be14ba4e35548d94d5c3ac.jpg
03e0ce690514dd886226adb5a7a59877.jpg
696be17d136478ea7f9adb54741d7794.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom