Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,129
- 8,374
NAOMBA CHIMBO MKUU NIKABEBE RICE COOKER90 wakati Kariakoo ni elfu 30 tena Original
NAOMBA CHIMBO MKUU NIKABEBE RICE COOKER90 wakati Kariakoo ni elfu 30 tena Original
Ebu punguza ushamba dada
NAOMBA CHIMBO MKUU NIKABEBE RICE COOKER
Inawezekana hujui unaongelea nn!!! Sikulaum sana maana hujawah kuijua hii kitu,,30k original unatania weweee.. Kwanza hata hyo ya 90k bado sio Original...30000 ni yale matochi ya kichina ya kumulika giza tena ya kawaida tu90 wakati Kariakoo ni elfu 30 tena Original
Unataka kusema amehasiwa kama ile mbuzi inayoitwa ndafu!Ha ha ha a Hanithi utazaa lini??
Mtoto mdogoo hanithiii
Nimeshanga sana huyu jamaa90 wakati Kariakoo ni elfu 30 tena Original
50Huna hata haya! et rice cooker elfu thelathini mpya???
tujaribu kuheshimu biashara za watu
Sawa anti. Naona nimewaharibia biashara iInawezekana hujui unaongelea nn!!! Sikulaum sana maana hujawah kuijua hii kitu,,30k original unatania weweee.. Kwanza hata hyo ya 90k bado sio Original...30000 ni yale matochi ya kichina ya kumulika giza tena ya kawaida tu
Nipo mkuuLike this uko wapi muuzaji?
Zipo zote angalia vizuri kwenye uzi huoKaka weka na size kwa hizo nyingine ukiachana na hiyo 2.5 million