January songo
Member
- May 26, 2017
- 96
- 100
- Thread starter
- #21
We will send no problem for bus transport its high cost but for cargo vehicle cheap so u can choose an optionI'm in mbeya
We will send no problem for bus transport its high cost but for cargo vehicle cheap so u can choose an optionI'm in mbeya
nikiwa na 450k vip haiend?Zipo 520000 inategemea unataka nyingi kwa jumla hio bei ya lejaleja
Kuna kampuni nzuri tu naweza kukupa mo electro,star x,uniwood zote hz ni hatari kwa 400000 tu zina ving'amzi internal lg na samsung majina tu kaka manunuzi bei mwisho ntakupa kwa laki 5nikiwa na 450k vip haiend?
dah mkuu bajeti yangu ilikuwa hiyo kwa mzigo wa brand ya lg au samsungKuna kampuni nzuri tu naweza kukupa mo electro,star x,uniwood zote hz ni hatari kwa 400000 tu zina ving'amzi internal lg na samsung majina tu kaka manunuzi bei mwisho ntakupa kwa laki 5
dah mkuu bajeti yangu ilikuwa hiyo kwa mzigo wa brand ya lg au samsung
Haiwezekani mkuu lkn mm ndio nakuhakikishia mo electro ni zaidi ya hizo kwanza ina kioo cha kipekee hakivunjiki labda upige jiwe au nyundo pili bei ni ya ofa tu tatu ina free blacket mount kila kitu kama lg ila inauziwa ofa tudah mkuu bajeti yangu ilikuwa hiyo kwa mzigo wa brand ya lg au samsung
Mhm!We will send no problem for bus transport its high cost but for cargo vehicle cheap so u can choose an option
Na warrant miaka 2 kwa case yoyote unapewa mpya kakadah mkuu bajeti yangu ilikuwa hiyo kwa mzigo wa brand ya lg au samsung
Tunao wateja wetu uyole,mbozi na tunduma unaweza pia kwenda ofisi yoyote huko ya usafirishaji ama kwenye bus office unawaambia kama kuna mzigo wako dar unataka uje kwa gari zao naupeleka kwenye office zao za huku dar kisha unaongea nao huku moja kwa moja kupitia simu za office za huko na huku ili kujiridhisha ndio unatuma hela baada ya kuwakabidhi offisiniMhm!
kwani ubaya ni nini?Mkuu unakula kwa urefu wako. Wewe digidigi kutaka kula vya twiga, wapi na wapi?
mh,mkuu unashawishi but hizo brand mpya wanasema eti huwa ni aghalabu kudumuHaiwezekani mkuu lkn mm ndio nakuhakikishia mo electro ni zaidi ya hizo kwanza ina kioo cha kipekee hakivunjiki labda upige jiwe au nyundo pili bei ni ya ofa tu tatu ina free blacket mount kila kitu kama lg ila inauziwa ofa tu
Waongo mm nakuhakikishia ndio nauza hv vitu unadhani ni nn maana ya warrant na guarantee ondoa hofu mm natumi star x na mo electro nyumbani miaka 3 sasa zilivyo ingia tu nikachukua msijiongopeemh,mkuu unashawishi but hizo brand mpya wanasema eti huwa ni aghalabu kudumu
*RejarejaZipo 520000 inategemea unataka nyingi kwa jumla hio bei ya lejaleja
Rice cooker kilo 2Sijaelewa hizo digits mkuu
[HASHTAG]#tisini[/HASHTAG]Tisini elfu au lak 9 ??