Nafuta mke mwathirika wa HIV

Nina wajua wawili, mmoja ana degree, mwingine ni 4m4, degree ana 28 yrs, form ana 22 years, chagua nikutumie namba PM.

NB 22 yrs is more beautiful than 28! 28 ni ndugu yangu, 22 ni best friend wangu.
Nipasie huyo wa 22
 
Huyo wa 22years nikitumia Kinga maisha HAYAENDI?
Nina wajua wawili, mmoja ana degree, mwingine ni 4m4, degree ana 28 yrs, form ana 22 years, chagua nikutumie namba PM.

NB 22 yrs is more beautiful than 28! 28 ni ndugu yangu, 22 ni best friend wangu.
 
Habari zenu waungwana, mimi ni mwanaume umri miaka 38. Naishi dar ni mjasiria mali, natafuta mwenza aliye serious. Mimi ni mwathirika wa vvu natamani nipate mke mwenye hali kama yangu ili tuishi kwa pamoja.dini yangu ni mkiristo ila mwenza awe wa dini yoyote sichagui. Ahsanteni.
Utapata tu kuwa na subra
 
Nilipima last February nikakuta niko Negative, juzi kati kuna mtoto kajichanganya kwenye 18 zangu, nikabutua! Yaani hapa nina kazi ya kupima tena baada ya miezi 3.
Utakua nao mkuu jiandae kisaikolojia
 
Mkuu kama umeshindwa kupata mwenza huko kwenye foleni ya kuchukuwa vidonge vya ARV utapata humu?

Nakushauri endelea kuwavizia kule hospital.
Utapata mwanamke wa ndoto yako.
Humu ni kupoteza muda wako.
Kwani wanaopanga foleni hawawezi kuwemo humu, hawana ndugu wenye huo uhitaji pia? Usimkatishe tamaa popote anaweza kupata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom