Ndio ila nimebadil jinsiaYaani ulizaliwa mwanaume?
Unazifurahia bakora..Baada ya kufanikiwa kubadil jinsia kutoka wa kiume hadi wa kike.nahisi kuwa na furaha sana maana maisha ya ukiume nilikuwa nayachukia sana ila sasa nnafuraha maana waatalam wamenibadili plus nakufanyiwa plastic surgery sasa mm sio mweusi tena bali mzungu.
Umebadili Kwa lengo gani?Ndio ila nimebadil jinsia
Kwa hiyo unataka great thinkers wakusaidie nini? Au ni tangazo la biasharaBaada ya kufanikiwa kubadil jinsia kutoka wa kiume hadi wa kike.nahisi kuwa na furaha sana maana maisha ya ukiume nilikuwa nayachukia sana ila sasa nnafuraha maana waatalam wamenibadili plus nakufanyiwa plastic surgery sasa mm sio mweusi tena bali mzungu.
Nachukia sana ukiumeUmebadili Kwa lengo gani?
Duuh, ndivyo ulivyozaliwa au ulipitia ukatili toka mdogo?Nachukia sana ukiume
Vp umeshaolewa?Nachukia sana ukiume
Umemuanini!?🤣😁
Unaweza mcheka mtoa mada
Ila angalau yeye kajisema kuliko hawa wwngine walio humu wanajificha nyuma ya keyboard ila kiukwel wanafumulia makebo
Maji maji fc na buttplug 🌈
Kweli uhuru umezidi sasa umebadiri huku unatafuta nini!! Au ninyi ndio mna project za kusambaza haya mazaga kwa walimwengu,, mnazingua sana mada za kiwaki,we jamaa jau sana🚮Baada ya kufanikiwa kubadil jinsia kutoka wa kiume hadi wa kike.nahisi kuwa na furaha sana maana maisha ya ukiume nilikuwa nayachukia sana ila sasa nnafuraha maana waatalam wamenibadili plus nakufanyiwa plastic surgery sasa mm sio mweusi tena bali mzungu.
Nimepitia ukatili sana kutoka kwa jinsia hiiDuuh, ndivyo ulivyozaliwa au ulipitia ukatili toka mdogo?