Nafundisha Kingereza kwa njia ya Mtandao

Dom2

Member
Jul 15, 2021
72
99
Karibuni wote,

Naitwa Shabani Mnkai kutoka Dodoma.

Nafundisha Kingereza kwa njia ya Mtandao mfano Zoom meeting na WhatsApp kwa wote, anayetaka kabisa kuanza muanzo na anayetaka kujua Sarufi(Grammar) ya Kingereza pia anakaribishwa.

Mawasiliano whatsApp:

0713068762

"Hello everyone,

My name is Shabani Mnkai from Dodoma.

I teach English through online such as Zoom meeting and WhatsAspp. For those who really want to learn as beginners and also those who demand to know English Grammar are also welcome.

Contact whatsApp:

0713068762.View attachment 2682448
 
Attachments

  • IMG-20220520-WA0003.jpg
    IMG-20220520-WA0003.jpg
    63.3 KB · Views: 26
Ungeandika na thread kwa kingeresa Ili tujue unakijua? Na kama tenses ziko sawa pia. .

How do you do Mr Shabani. .
Ukija ndo utajua kwa vitendo kama najua au sijui.
Najiamini ndo maana sina haja ya kuandika tangazo kwa Kingereza wakati nawaandikia Watanzania.
 
Ungeandika na thread kwa kingeresa Ili tujue unakijua? Na kama tenses ziko sawa pia. .

How do you do Mr Shabani. .
YEYE ANAWATANGAZIA WASIOJUA KIINGEREZA SASA AKIANDIKA KWA KINGEREZA WATAELA TANGAZO KWELI...KWA MFANO WEWE UJUI KITALIANO ILA KUNA MWALIMU ANAFUNDISHA LUGHA HIYO UNADHAN AKIWEKA TANGAZO KWA KITALIANO UTAELEWA ? kwangu mimi mwalimu shabani yupo sahihi kuweka tangazo kwa lugha ya kuswahili
 
Nimemwambia aandike kiswahili na kingereza. Inawezekana mimi nakijua ila sio mwalimu sasa nikitaka watoto wangu wakajifunze kwake lazima nijihakikishie kuwa anakijua. .
 
Ukija ndo utajua kwa vitendo kama najua au sijui.
Najiamini ndo maana sina haja ya kuandika tangazo kwa Kingereza wakati nawaandikia Watanzania.
Kwa namna hii aisee bado sana. .
 
Habari za leo wana JF,

Naitwa Shabani Mnkai.
Ngazi ya Elimu:Chuo kikuu(Udom).
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Dodoma na Mwalimu wa Kingereza (English Linguistics).
Nafundisha Kingereza kwa njia ya Mtandao Zoom au whatsApp.

Yeyote anayetaka kujua Kingereza aje hata kama ameishia darasa la 7.
Simu au whatsApp: 0713068762

IMG-20221124-WA0008.jpg
 
View attachment 2444556
Ukimfundisha mtu baada ya kumaliza ataanza kuongea fluently kabisa?
 
Dear Mnkai,

You seem.to be honest and genuine man. As the saying goes, "I have liked you for free" or for English speakers, "I like you already"

I would advice you, however, as did some of the contributers, to translate your advertisement in English. This will enable some of us who may decide to introduce you to some prospective students to get a hind-sight of your skill on the subject.
 
Back
Top Bottom