Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
M kinanda mkuu nataman saana kujua icho ktu
Poa mkuuHapo tuko pamoja mkuu, gitaa napenda sana na nnalo, tatizo nikipiga vidole vinauma huenda nakosea kushika nyuzi kama inavyopaswa.
Nimejikuta nahamishia mapenzi kwenye kinanda.
, tatizo nikipiga vidole vinauma huenda nakosea kushika .
Labda unapiga kama unapiga konoli......sio hivyo......twende tukajifunze kupapasa............
Gitaa na nundu ya vidole hakuna namna upo wapi Mkuu nitaweza kweli kucharaza gitaa kama Diblo Dibala?
Kutomasa GITAA? Ha ha haaaa
Ndo maana yake.......
Wadau,
Leo nimefanikiwa kununua Gitaa langu la kisasa kwa pesa yangu, nimefurahi sana! Nilianza kupiga Gitaa nikiwa darasa la tano shule ya msingi hadi leo nimeshamaliza chuo, nina familia...bado naendelea kupiga Gitaa! Nilifundisha kwaya nyingi sana jijini Mwanza miaka ya 2006 - 2010.
Natangaza nafasi ya bure kwa anayetaka kujifunza Gitaa. Nilifundisha wengi na leo najivunia kuwa na vijana wangu wanapiga mzigo kwenye makanisa mbalimbali jijini Mwanza na wachache hapa Dar. Kama kwako ni mbali basi utakuwa unanigharamia nauli. NiPM kama uko interested.
Hii ni Hobby nzuri sana kwangu, mke wangu akinuna tu nashika Gitaa langu...baada ya dakika kadhaa mara naona tabasamu kuuuubwa hadi raha! JIFUNZE GITAA.
Karibu sana mkuu.Aiseeee nataka nijifunze hio kitu kuanzia Mwezi wa 8..ntaku pm
Rudisha mapenzi kwenye Gitaa mkuu. Moja ya faida ya Gitaa ni kwamba halihitaji umeme...muda wowote kazi tu!Hapo tuko pamoja mkuu, gitaa napenda sana na nnalo, tatizo nikipiga vidole vinauma huenda nakosea kushika nyuzi kama inavyopaswa.
Nimejikuta nahamishia mapenzi kwenye kinanda.
Wewe mtoto wa kike jifunze Solo...bass waachie wenye sura ngumu.Nakuja mkuu........nataka nipige bass.......