Iphone 5s nipe bei mkuu
ninapatikana dar na ninaweza kusogea karibu na ulipo ila ni kwa dar tu so wewe sema una simu gani nitakupa beiweka bei ya simu na aina
na wapi unapatikana.
Lg optimus lte?
unapatikana wapi ili nikipatie?kwa lg utanipa 15 tu mkuu