SuperEnthusiasis
Member
- Feb 4, 2023
- 39
- 75
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimefikiria namna ya kuongeza kipato changu nikapata njia ya kwenda china ili niwe naagizwa na wabongo wenzangu niwatafutie bidhaa na kuwaagizia, ili walau niwe napata kiasi kidogo cha pesa.
Pia niwe natafuta machimbo ya vitu vya bei rahisi na kuwaonyesha kwa kupitia social medias.
shida kubwa niliyoiona katika hili ni kutokuaminiwa na watu. sasa suluhisho nililolifikiria ni kuwa niwe na ofisi hapa dar na niisajili ili watu wawe wanaenda pale kwa ajili ya kulipia na kuchukulia mizigo yao.
Kama kuna mtu mwenye ujuzi wa hili swala naomba anipe abc's ili nichukue hatua au nisitishe.
Karibuni kwa ushauri.