Habari ya muda wadau wa elimu.
Mimi ni kijana wa miaka 26 na nina Diploma ya Clinical Medicine ambayo nimehitimu 2020..tangu nipo mtaani kufanya kazi sehemu mbali mbali(vijiwe) nimejikuta sina chochote cha maana ninachofanya kwa sababu malipo madogo na kazi zenyewe za kubabaisha sana.
Nina rafiki yangu yeye ni ana Diploma ya meno na tulimaliza wote mwaka mmoja ajabu mpaka sasa ana mafanikio makubwa sana kwanza anapofanya kazi ana thaminiwa na anapewa hela nzuri si chini ya laki 9 kwa mwezi(yeye hulipwa kwa kichwa).
Kiufupi ana maendeleo makubwa kiasi mpaka ananihurumia mimi Tabibu wakati tulipokua tunasoma nilikua najiona niko juu sasa niko vibaya kiuchumi.
Kijiwe ninachofanya kazi na vijiwe mbali mbali nilivyopita hakuna mshahara unalipwa kutokana na uanchoingiza unajikuta kwa mwezi unapata kiasi cha 200k-280k na unakopwa juu na ajira za serikali nimeomba nimeangukia pua.
Sasa wazo nililopata ni kusoma hiyo C.Dentisry je, kwa ufaulu wangu huu nilio nao wa Physics C,Bios B ,Chemistry C naweza kupata chuo cha serikali nikajiuma tena kwa miaka 3 na huku nikitumia cheti changu cha C.O kujikidhi mahitaji?
NB;Sifikiri Digrii ya Udaktari kwa sababu ya Hela kua kubwa,ushindani mkubwa na GPA yangu nadhani siwezi kukompiti...
Naomba ushauri katika hilo je,nipo sahihi au nimevurugwa nahitaji ushauri wa kitaalamu
Matusi sitaki naomba ushauri

.