Nafikiria kuhamia CCM

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Upinzani sio baba yangu wala sio mama yangu, nafikiria kuhamia CCM, ni bora niwe CCM kwa kweli, nafsi inanisuta bora niwe CCM
 
Nenda Mpwa "kaamie" CCM Hahaahah hata sisi tunatamani "kuamia" CCM kama Ndege wa kwenye Shamba LA mpunga
 
Upinzani sio baba yangu wala sio mama yangu, nafikiria kuhamia CCM, ni bora niwe CCM kwa kweli, nafsi inanisuta bora niwe CCM
ccm ilikua kichaka cha nguruwe sasa wamehamia chadema. bora tu urudi saa hizi kunafanyika usafi..hapa kazi tu.
 
nilidhani baada ya wale waliohamia ccm kukejeliwa kwa kuambiwa na mwenyekiti kuwa watakatwa mikia hakuna mtu mwenye akili timamu atahamia huko.
 
Back
Top Bottom