pascal luoga
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 238
- 271
Habari zenu wakuuu.
Nimepata pesa kiasi kadhaa ila nafikiria kufungua biashara ya play station. Ila huwa nafuatiliaga sana mitandaonj kuna vitu huwa naviona vinanikatisha tamaa kuanza hii biashara.
1.Naonaga watu wanalalamika sana kwamba ni ugomvi na kin mama kuhusu watoto wao
2.kushtakiwa serikali za mitaa
3.POLISI hawakauki
Hizo point tatu huwa zinanikatisha sanaa tamaa na hii biashara hasa hii point ya tatu (3) POLISI
-Maana sehem ambayo nahitaji kufungua ni barabarani na nataka niipromote vya kutosha hiyo office ila naona kama nitasumbuliwa sana na hao Askari, maana watu wanasema hata uwe na vibali ila hawakauki kujaofisini na kwa hiv nampango wa kufungua maeneo ya barabaran naona kama nitajitangaza kwa hao Askari.
Je kwa ambao wamewai kufanya hii biashara mnanishauri kitu gani hapo? Pia naweza kuvishinda hivi vitu kwa kufanya nini??
Msaada wenu wakuu🙏🙏