Nafikiria Kubadili tabia na ID

Nafikiria Kubadili tabia na ID

Joined
Sep 9, 2014
Posts
59
Reaction score
21
Baada ya tafakari ya muda mrefu juu ya matumizi yangu ya fedha hakika ni mwendo wa lodge na kuhonga ambapo ni kama 3/4 ya base salary yangu na ni hasara sana kwa maendeleo yangu! Inaniuma sana kwa sababu nimewekeza zaidi kwenye papuchi kuliko maendeleo. Hii ni baada ya kujitafakari sana sasa nimeamua kubadili tabia na kuacha hii tabia; kazi ni hii ishu ya kubaki njia kuu, je ni ipi kati ya hawa waliopo.?
 
Mbona kubaki njia kuu kazi rahisi Sana mkuu..
 
Tatizo nyie ndo mnaanza kuonja papuchi ukubwani, angalia hata ku balance mshahara wako unatumia kugongea mzigo, any way tabia hiyo huwezi iacha over night punguza badili fikra zako then yote yanawezekana
 
Waone washauri wa masuala ya mapenzi na mahusiano au wana"saikolojia" watakusaidia.
 
duh.. wewe kweli ni mswati original 3/4 ya salary kwa ajili ya papuchi... tofauti ni kwamba wewe ni mswati wa michepuko na mswati yule mfalme ni wa njia kuu
 
Baada ya tafakari ya muda mrefu juu ya matumizi yangu ya fedha hakika ni mwendo wa lodge na kuhonga ambapo ni kama 3/4 ya base salary yangu na ni hasara sana kwa maendeleo yangu! Inaniuma sana kwa sababu nimewekeza zaidi kwenye papuchi kuliko maendeleo. Hii ni baada ya kujitafakari sana sasa nimeamua kubadili tabia na kuacha hii tabia; kazi ni hii ishu ya kubaki njia kuu, je ni ipi kati ya hawa waliopo.?

choose one umpendae
 
Muda mwingi naumia nikiwaza hili, na hufikia maamuzi ya kupiga chini wote asa ishu nikuwa nikitoka kazini au misele lazima ntakuwa na namba mpya! Nahisi kweli nahitaji mwanasaikolojia maana huu umekuwa kama ugonjwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom