Nafikiria kuanzisha Private Investigation Firm

Addict

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
702
485
Wadau wa humu,

habari

Nina wazo la kuanzisha private investigation firm hapa Tanzania...kwa wale wenye clue naomba mnijulishe yafuatayo

1.Mazingira ya kisheria
2.Prospective challenges za hii service
3.Success factors

Natarajia kuanza na investigation ya Criminal na civil cases

Kufanya Fraud forencics na kadhalika
 
Kama wewe mwenye tu umeshindwa kuinvestigate hayo machache tu sasa utatoa service gani? Hata kama tunapaswa kuwa wabunifu siyo namna hii au kutengeneza mashine ya kusaga na kuivalisha umbo la chopa.
 
Kama wewe mwenye tu umeshindwa kuinvestigate hayo machache tu sasa utatowa service gani? Hata kama tunapaswa kuwa wabunifu siyo namna hii au kutengeneza mashine ya kusaga na kuivalisha umbo la chopa.

Itabidi uende ulaya na amerce ukakodi workers maana inahitaji brain sana, shida utayopata ni vikwazo kazini maana ushirikiano zero, tafuta siries inaitwa catch us, itakupa clue
 
Back
Top Bottom