Nafikiria kuachana na mpenzi wangu

Nafikiria kuachana na mpenzi wangu

Mlanje

Senior Member
Joined
May 16, 2013
Posts
141
Reaction score
77
Ndugu marafiki naombeni ushauri wenu nina uhusiano na msichana kwa muda wa miaka 2 hivi karibuni amenisumbua sana kwani muda mwingi nampigia simu na hapokei pia baada ya kumpigia tena anakuwa hanipi sababu za msingi kutopokea zaidi ya kusema nilikuwa mbali na simu na hata nikimwuliza kwanini hukunitafuta baada ya kukuta missed calls zangu anadai hajaziona leo aliacha simu nyumbani kwao na kwenda sabasaba kumwuliza anadai aliiacha kuhofia kuibiwa,ki ukweli nahisi kuibiwa na kupoteza muda wangu.Pia ni mbishi hata kuniomba msamaha huwa hataki kifupi nimemvumilia sana na habadiliki.
 
unahisi bado kumpenda mkuu?embu tuanzie hapo.
 
jaribu kumpigia simu kwa number ngeni kwake,na kama atapokea basi ujue anakukwepa huyo.wewe unapanga kumuacha,kumbe mwenzako anakuacha taratibu
 
Mh! Mkuu usiumize kichwa hzo ni dalili za m2 kukuchoka anashndwa tu kukuambia hakutaki tena so anakata mawasiliano taratbu! Sababu ya kuacha simu home eti kisa 77 itaibiwa haina MASHIKO hata kidogo! Yan ni ya kitoto! Huyo atakuwa na bwana mwingne so anapokuwa naye hataki umsumbue wala kukamatwa na hcho kibwana chake a.k.a kidumu! Na kwa taarifayo leo alienda hukohuko 77 kisingzio tu!So watch out mchunguze then chukua hatua! Otherwse mbwage tu anakptezea muda!
 
acha kujipendekeza mkuu,mpaka uambiwe toka au sikutaki?
 
Ndugu marafiki naombeni ushauri wenu nina uhusiano na msichana kwa muda wa miaka 2 hivi karibuni amenisumbua sana kwani muda mwingi nampigia simu na hapokei pia baada ya kumpigia tena anakuwa hanipi sababu za msingi kutopokea zaidi ya kusema nilikuwa mbali na simu na hata nikimwuliza kwanini hukunitafuta baada ya kukuta missed calls zangu anadai hajaziona leo aliacha simu nyumbani kwao na kwenda sabasaba kumwuliza anadai aliiacha kuhofia kuibiwa,ki ukweli nahisi kuibiwa na kupoteza muda wangu.Pia ni mbishi hata kuniomba msamaha huwa hataki kifupi nimemvumilia sana na habadiliki.

Kuna msichana nilikutana naye leo saba7 akanipa # yake ya simu lakini, alisema simu nimeiacha, atakuwa huyo!
 
Upande mmoja tumesikia tayari mlete nae tumsikie utetezi wake ndo tuamue muendelee au mtawanyike
 
Back
Top Bottom