Nafikiria kuachana na mpenzi wangu

Nafikiria kuachana na mpenzi wangu

Jaribu kutompigia kwa siku kadhaa, ukiona nae hakupigii jua huna chako angalia ustaarabu mwingine.
jamaa atakuwa amemwacha kitambo au wameoana kwani uzi huu ni wa 2013
 
Ndugu marafiki naombeni ushauri wenu nina uhusiano na msichana kwa muda wa miaka 2 hivi karibuni amenisumbua sana kwani muda mwingi nampigia simu na hapokei pia baada ya kumpigia tena anakuwa hanipi sababu za msingi kutopokea zaidi ya kusema nilikuwa mbali na simu na hata nikimwuliza kwanini hukunitafuta baada ya kukuta missed calls zangu anadai hajaziona leo aliacha simu nyumbani kwao na kwenda sabasaba kumwuliza anadai aliiacha kuhofia kuibiwa,ki ukweli nahisi kuibiwa na kupoteza muda wangu.Pia ni mbishi hata kuniomba msamaha huwa hataki kifupi nimemvumilia sana na habadiliki.
"..Iko siku atazima simu week nzima atakwambia baby ilikuwa chaji"
 
Ni mwanamke sio mke wako, sidhani kama ni kazi kubwa kuachana nae kama nafsi yako hainafuraha...
 
Usihisi kuachana na mpenzi wako bruh....... wewe ushaachwa kitambo.....
 
Hiii post ya lini jaman....mbona long time
Duh...nahc mleta mada atakua alishaoa ....tangu2013!!!!!
 
Mfanyee Mpiraa wa mazoezi...!Alf tafuta mwingine.
 
Back
Top Bottom