konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,666
- 8,582
Nyie watu wa lumbumba msiwe na wasiwasi mtaendelea kutumia vifurushi vya zamani.Wanaangalia kama wananchi mpo kimya mnakubaliana na gharama nao wanabariki!
Ongeza sukari, sementi, nondo. Vyote hivyo serikali imeshindwa kushughulikia ambavyo vinamtatiza mwananchi wa hali ya chini.Unazungumzia serekali ipi??! Tokea lini serekali ambayo haina kibali cha wananchi ikashughulika na matatizo ya wananchi?Yaani serekali iingie madarakani kwa wizi wa kura kisha ishughulikie matatizo ya wananchi?Una kichaa?...
Unataka tufanyeje sasa wakati kupinga au kushauri jambo lolote ni kumkwamisha mtukufu raisi???Wana angalia kama wananchi mpo kimya mnakubaliana na gharama nao wanabariki!
Unataka tufanyeje sasa wakati kupinga au kushauri jambo lolote ni kumkwamisha mtukufu raisi???
CCM, CHAMA CHA MAZEZETASi kweli watu ni kuamka na kuhamasishana kuigomea huduma kandamizi watarekebisha tu lakini sio kupinga tu kila jambo bila ya sababu hata kama ni la maana!
CCM, CHAMA CHA MAZEZETA