Nafikiri binadamu alitoka hapa...!

Mkuu tunajua tunachokijua na tusichokijua hatukijui!.

hao watoto ili wasing'amue chochote itabidi uwapeleke wakiwa watoto sana.. wasiweke kumbukumbu.. hili linatosha watoto hao kutosurvive!,hawataweza kulima ili kula,kujihudumia hudama mbalimbali.. kujikinga na hatari yoyote hivyo they gonna die!.
 
What if kama viumbe vya huko havihitaji oxygen kuishi.
 
Jamii mbili za viumbe wenye akili ulimwenguni
 
Ni hii hapa mkuu
Jamii mbili za viumbe wenye akili ulimwenguni
 
Tule, tunywe, tufe.... kama mtazidi kuongea theory nikama mnakula kunywa kufa...... lets practice tz atuna ata satelite afu mnadiskasi undata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…