Nafikiri binadamu alitoka hapa...!

Kwasababu hatujui maisha baada ya kifo inakuwaje nahisi wafu ndio wanaludi kwenye hizo sayari kuendelea na maisha mengine ni kama style ya wadudu kubadilika
Kwan wadudu huwa wanabadilika?
 
Najitahidi kuelewa concept yako mkuu, umeandika vizuri. Unaweza kuendelea kuelezea zaidi?
 
Asante chief kwa maelezo yako. Though naungana na wewe kwamba kuna mengi sana ambayo inawezekana hatuyajui.
 
Hili wazo kama umeanza nalo ww basi unahitaji kusubmit certificates zako kwa gwajima
 
Kwamba tulitengenezwa kwingine halafu tukaletwa hapa, basi HUYO aliyetutengeneza, akajua kuwa tutamudu kuishi katika sayari hii ni wa kuheshimiwa! Na au tuseme pia kuwa aliitengeneza na dunia huko kwingine akaiweka katika njia yake halafu akatutengeneza na kutuleta au?! Hahahaaaa, kuna mambo ambayo sayansi haitakaa ijibu.
 
Wewe waizungumzia solar system ambayo si ulimwengu

Solar system na ulimwengu ni vitu viwili tofauti

Ulimwengu una mabilion na matrilions ya sayari,
Zikiwemo sayari za solar system
 
kama kuna binadamu sayari nyingine kwanini yesu alikuja sayari moja tu dunia kwanini hakuna andiko alikwenda na sayari zingine kuhubiri
 
Allah ndio mungu gani

allah ndio mungu wa ukweli hakuzaliwa wala hakuzaa vyoote vilivyomo mbinguni na duniani na baharini kaviumba yeye huyo ni allah na ndie aliyekuumba wewe akakupa pumzi na mdomo ukaweza kuuliza allah ndio nani
 
Mpaka sasa NASA wamegundua kuna solar system nyingine jirani na hii tuliopo ina sayari saba n tatu zinafanana na dunia
 
Nikiangaliaga picha za NASA nacheka sana...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ivi mtu unakubali vipi izo picha?!
 
kama kuna binadamu sayari nyingine kwanini yesu alikuja sayari moja tu dunia kwanini hakuna andiko alikwenda na sayari zingine kuhubiri
Nani amekwambia hayo mkuu, Kwamba Yesu alikuja sayari moja tu? Vipi kama ulidanganywa.
 
Mpaka sasa NASA wamegundua kuna solar system nyingine jirani na hii tuliopo ina sayari saba n tatu zinafanana na dunia
Dooooh, kwaiyo tunarudi pale pale kwamba yawezekana kabisa kuna mengi ambayo hatuyajui.
 
allah ndio mungu wa ukweli hakuzaliwa wala hakuzaa vyoote vilivyomo mbinguni na duniani na baharini kaviumba yeye huyo ni allah na ndie aliyekuumba wewe akakupa pumzi na mdomo ukaweza kuuliza allah ndio nani
Nani mekwambia hayo, Vipi kama alikudanganya? Au ndo umeambiwa uamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…