Shukrani sana mkuu🙏Saba saba panda gari za Nkhungu shuka 4 ways unakata kushoto ni mita chache sana tembea usichukue boda.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
endelea kujiona mtotoHabari za jumamosi wakuu, mdogo wenu nauliza jinsi ya kufika kiwanda cha magodoro ya Dodoma asili ukiwa Dodoma. Sehemu ya kuanzia safari itakuwa sabasaba stendi au chako ni chako.
Natanguliza shukrani🙏