Choma waterfall morogoro kuna kumbukumbu kwa watu fulani.
Sasa mzee mbona kama haupo serious kabisa bwawa la mindu unaenda kutembelea nini? bwawa halina hata sehemu ya kukaa, bwawa halina mvuto, bwawa halina tofauti na dumbwi, bwawa halina hata sehemu ya kuingilia ni kupita machakani uking'atwa na nyoka je?
Na huko mzumbe unaenda kutembelea nini mzee? au kuangalia wanafunzi wa chuo? maana mzumbe hamna kivutio chochote.
Anyway kwa kuwa umetaka mwenyewe machaguo yako kidogo choma waterfall kuna afadhali unaweza ukaenjoy, huko kwingine nakupa pole.