The Dude JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 1,029 Reaction score 464 Aug 1, 2013 #1 naombeni msaada. Maana nimeambiwa all my dirt kwa internet yanajulikana coz natumia simu.
mooduke JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 630 Reaction score 113 Aug 1, 2013 #2 Tumia proxy fuata hiyo link hapo chini How to Hide Your IP Address
JuaKali JF-Expert Member Joined Nov 14, 2007 Posts 776 Reaction score 119 Aug 1, 2013 #3 Achana na dirty staff utakuwa ok, cm yako ipo registered na service provider hata ubadirishe ip address bado wanajua.
Achana na dirty staff utakuwa ok, cm yako ipo registered na service provider hata ubadirishe ip address bado wanajua.
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 Aug 1, 2013 #4 Kuhusu simu, unaweza kutumia kitambulisho feki, kinasomeka juma na sura ya juma wa photoshop anayefanana na wewe kidogo na hivyo unapata namba feki. Sema tu za mwizi ni 40. JuaKali said: Achana na dirty staff utakuwa ok, cm yako ipo registered na service provider hata ubadirishe ip address bado wanajua. Click to expand...
Kuhusu simu, unaweza kutumia kitambulisho feki, kinasomeka juma na sura ya juma wa photoshop anayefanana na wewe kidogo na hivyo unapata namba feki. Sema tu za mwizi ni 40. JuaKali said: Achana na dirty staff utakuwa ok, cm yako ipo registered na service provider hata ubadirishe ip address bado wanajua. Click to expand...
JuaKali JF-Expert Member Joined Nov 14, 2007 Posts 776 Reaction score 119 Aug 2, 2013 #5 Iyokopokomayoko said: Kuhusu simu, unaweza kutumia kitambulisho feki, kinasomeka juma na sura ya juma wa photoshop anayefanana na wewe kidogo na hivyo unapata namba feki. Sema tu za mwizi ni 40. Click to expand... Ndo uzuri wa bongo kila kitu feki!
Iyokopokomayoko said: Kuhusu simu, unaweza kutumia kitambulisho feki, kinasomeka juma na sura ya juma wa photoshop anayefanana na wewe kidogo na hivyo unapata namba feki. Sema tu za mwizi ni 40. Click to expand... Ndo uzuri wa bongo kila kitu feki!
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,388 Aug 2, 2013 #6 Mtundu Kisu said: naombeni msaada. Maana nimeambiwa all my dirt kwa internet yanajulikana coz natumia simu. Click to expand... https://www.jamiiforums.com/matanga...wa-kwa-mwezi-mzima-sh-10-000-tu-new-post.html
Mtundu Kisu said: naombeni msaada. Maana nimeambiwa all my dirt kwa internet yanajulikana coz natumia simu. Click to expand... https://www.jamiiforums.com/matanga...wa-kwa-mwezi-mzima-sh-10-000-tu-new-post.html
Swiper JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 444 Reaction score 169 Aug 2, 2013 #7 Je na mimi nawezaje kuzuia hizi web za matangazo, mfano your computer performance is low, kujua who is spying me. SP
Je na mimi nawezaje kuzuia hizi web za matangazo, mfano your computer performance is low, kujua who is spying me. SP
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 Aug 2, 2013 #8 Sijakuelewa. Swiper said: Je na mimi nawezaje kuzuia hizi web za matangazo, mfano your computer performance is low, kujua who is spying me. SP Click to expand...
Sijakuelewa. Swiper said: Je na mimi nawezaje kuzuia hizi web za matangazo, mfano your computer performance is low, kujua who is spying me. SP Click to expand...