Losambo JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 2,611 Reaction score 868 Feb 14, 2012 #81 Blaki Womani said: khaa jane wee hongera Click to expand... Blaki hongera ya nini, wanawake wenzake wana magari ya kwao ambayo hawajahongwa yeye anataka kuringia gari tena ambalo hajalipata ni ajabu kabisa. Kumpa hongera hakumsaidii bali pole ndiyo yake na ndiyo inayomfaa.
Blaki Womani said: khaa jane wee hongera Click to expand... Blaki hongera ya nini, wanawake wenzake wana magari ya kwao ambayo hawajahongwa yeye anataka kuringia gari tena ambalo hajalipata ni ajabu kabisa. Kumpa hongera hakumsaidii bali pole ndiyo yake na ndiyo inayomfaa.