Nafatuta kazi jijini Mwanza

Nafatuta kazi jijini Mwanza

Ben91

New Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
2
Reaction score
0
Mimi ni kijana wa kitanzania naishi mkoa Mwanza,umri wangu ni miaka 26,Elimu yangu ni ya form six,nina ombi kwa mtanzania yeyote mwenye nafasi ya kazi kwenye eneo lake na anahitaji mtendaji (mfanyakazi) mimi nipo hapa najitokeza kwako kuomba hiyo nafasi.
Kazi ni yeyote ile kikubwa ni kuwa ni kuelewana,kwenye maslahi.
Kwa alie tiyari tu.
Nitafute kwenye msenyec@gmail.com
Baada ya hapo tutapeana mawasiliano zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hiyo form six yako atakuajiri nani nenda chuo dogo,,mi nipo mwanza hapa naona wenye elimu yao wanavyoteseka kusaka kazi
 
Mkuu ungespecify kazi unazoweza kuzifanya
 
Back
Top Bottom